Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Mzuri kweli ila anatakiwa aolewe na huyo jamaa wa kweNye Avatar yako washawasha ili a cross breed nae apate watoto wazuri kama Abriana.Abriana ni mwanamke mzuri
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzuri kweli ila anatakiwa aolewe na huyo jamaa wa kweNye Avatar yako washawasha ili a cross breed nae apate watoto wazuri kama Abriana.Abriana ni mwanamke mzuri
Nalog off
Kama A inalingana na B .., Jee C itafanana na herufi gani?Mzuri kweli ila anatakiwa aolewe na huyo jamaa wa kweNye Avatar yako washawasha ili a cross breed nae apate watoto wazuri kama Abriana.
Gani ni kifaa cha kuchomeleaKama A inalingana na B .., Jee C itafanana na herufi gani?
Kuchomelea kitu hukipa uimaraGani ni kifaa cha kuchomelea
Kuchomelea kitu hukipa uimaraGani ni kifaa cha kuchomelea
Uimara wa nyumba ni msingiKuchomelea kitu hukipa uimara
Nalog off
Msingi usipokuwa imara ni rahisi nyumba kuangukaUimara wa nyumba ni msingi
Kuanguka kwa nyumba ni kutokana na msingi mbovuMsingi usipokuwa imara ni rahisi nyumba kuanguka
Msingi mbovu vunja kisha anza upyaKuanguka kwa nyumba ni kutokana na msingi mbovu
Nalog off
Anza upya kupambana na maisha fanya kazi kwa juhudi na maarifa usije kuta maskini.Msingi mbovu vunja kisha anza upya
maskin hasaminiki kila anachofanya hasaminikiAnza upya kupambana na maisha fanya kazi kwa juhudi na maarifa usije kuta maskini.
Maskini wengi tuna makasiriko yasiyo na sababu,Anza upya kupambana na maisha fanya kazi kwa juhudi na maarifa usije kuta maskini.
Sababu ni kuwaona matajir wamefanikiwa maskin gafla hujaa hasira ya kuwachukia waliofanikiwa.Maskini wengi tuna makasiriko yasiyo na sababu,
Waliofanikiwa wako wachache Sana, Kama mtu anaenda hotelin, kabla ya kula anaulizia bei kwanza, huyo hajafanikiwa. Aliyefanikiwa hana hofu ya matumizi.....Sababu ni kuwaona matajir wamefanikiwa maskin gafla hujaa hasira ya kuwachukia waliofanikiwa
Matumizi lazima yaendane na bajeti uliyopanga, huwezi kufakamia msosi hotelini bila kuangalia menuWaliofanikiwa wako wachache Sana, Kama mtu anaenda hotelin, kabla ya kula anaulizia bei kwanza, huyo hajafanikiwa. Aliyefanikiwa hana hofu ya matumizi.....
Menu siangaliagi, nikifika nikuagiza tuuuMatumizi lazima yaendane na bajeti uliyopanga, huwezi kufakamia msosi hotelini bila kuangalia menu
Tuungane kutokomeza umasikini tusiogope karibu Naamini tutaweza !!
Tutaweza Kama kiboboso alivyoweza kuukomesha umaskini.Tuungane kutokomeza umasikini tusiogope karibu Naamini tutaweza !!
Umaskini umekumba jamii nyingi za kimasaiTutaweza Kama kiboboso alivyoweza kuukomesha umaskini.
Kimasai kinazungumzwa vyema na watu wa kabila LA Masai.Umaskini umekumba jamii nyingi za kimasai