Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Karibu sana kwetu hatuna ubaguzi..Mungu wangu, kimbilio taabuni..msaada kwenye shida ulio karibu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana kwetu hatuna ubaguzi..Mungu wangu, kimbilio taabuni..msaada kwenye shida ulio karibu sana!
Ubaguzi umejaa Amerika na uarabuni pia uhindiniKaribu sana kwetu hatuna ubaguzi..
Uhindini ubaguzi umekubuhu hata wao kwao ila Afrika ndiyo nyumbani hata ubaguzi wa lughaUbaguzi umejaa Amerika na uarabuni pia uhindini
Lugha ya kigiriki inaongoza kea kutoa maneno mengi na ndo lugha kongwe kuliko zote..Uhindini ubaguzi umekubuhu hata wao kwao ila Afrika ndiyo nyumbani hata ubaguzi wa lugha
Lugha ya kigiriki inaongoza kea kutoa maneno mengi na ndo lugha kongwe kuliko zote..
Zote zinafananaLugha ya kigiriki inaongoza kea kutoa maneno mengi na ndo lugha kongwe kuliko zote..
Zinafanana kama kujumlisha na msalaba?Zote zinafanana
Nalog off
inakaribia miaka kumi tangu uweke post hakuna jipya loloteSiku zinasonga na serikali ya jk inazid kuonyesha udhaifu.
Lolote wanalotaka kufanya na wafanyeinakaribia miaka kumi tangu uweke post hakuna jipya lolote
Wafanye kazi yao bila uoga wala upendeleoLolote wanalotaka kufanya na wafanye
Nalog off
Wafanye kazi yao bila uoga wala upendeleo
Mbali na hato yote tusameheane na tufungue ukurasa mpya !!Upendeleo wa kijinsia ulishatupiliwa mbali
Ukurasa mpya lakini kitabu cha zamani.Mbali na hato yote tusameheane na tufungue ukurasa mpya !!
Zamani yanga ilikuwa club ya mpira ila sasa hivi ni club ya majunguUkurasa mpya lakini kitabu cha zamani.
Majungu sio mtaji wa maendeleoZamani yanga ilikuwa club ya mpira ila sasa hivi ni club ya majungu
Nalog off
Maendeleo kuyapata ni lazima uroge?Majungu sio mtaji wa maendeleo
Uroge? Hapana ni kufanya kazi kwa bidii na kumwomba MunguMaendeleo kuyapata ni lazima uroge?
Nalog off
Mungu ni mwema siku zote na aabudiweUroge? Hapana ni kufanya kazi kwa bidii na kumwomba Mungu
Aabudiwe kwa kuwa ametuumbaMungu ni mwema siku zote na aabudiwe
Nalog off
Ametuumba sote pamoja na wale wote wanaopinga uwepo wakeAabudiwe kwa kuwa ametuumba
Uwepo wake umeonekana katika mambo magumuAmetuumba sote pamoja na wale wote wanaopinga uwepo wake
Nalog off