Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Wanyonge wamekaa kimyaTozo ni tatizo kubwa kwa wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge wamekaa kimyaTozo ni tatizo kubwa kwa wanyonge
Ajira hakunaWananchi tunataka Ajira
Hakuna matataAjira hakuna
Matata amekomaa kiakili na kimwiliHakuna matata
Kimwili sisi ni fremu lililojaa povu,damu,maji na nyama !!Matata amekomaa kiakili na kimwili
Nyama ya punda inaliwa vizuri sana maeneo ya Singida.Kimwili sisi ni fremu lililojaa povu,damu,maji na nyama !!
Singida Luna maziwa mawili (Lakes) ila sijui majina yake wenyeji jibuni...Nyama ya punda inaliwa vizuri sana maeneo ya Singida.
Jibuni ni jina la rais wa comoroSingida Luna maziwa mawili (Lakes) ila sijui majina yake wenyeji jibuni...
Comoro ipo bara lipi duniani.?Jibuni ni jina la rais wa comoro
Comoro ipo bara lipi duniani.?
Akilini ndipo pakutunzia siri moyo saa zingine una mhaho
Mhaho ukizidi sana utakonda na kukauka .Akilini ndipo pakutunzia siri moyo saa zingine una mhaho
Kukauka kama majani msimu wa kiangaziMhaho ukizidi sana utakonda na kukauka .
Kiangazi watu wanapauka sanaKukauka kama majani msimu wa kiangazi
Sana tuna kula vyakula vya wangaKiangazi watu wanapauka sana
Sana tuna kula vyakula vya wanga
Mchana umekula .?Wanga wengi wanawanga usiku na sio mchana
Umekula wa chuyaMchana umekula .?
Chuya zisipotolewa wali hauwezi kuwa mtamu.Umekula wa chuya