BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hidaya Hidaya Hidaya mpenzi wangu naupenda sana ule wimbo.
Pepekale aliimba vizuri wimbo uitwao Hidaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepekale aliimba vizuri wimbo uitwao Hidaya
Taaluma yenyewe unaiweza au umesingiziwaSekondari nilikua kiranja wa taaluma
Umesingiziwa kesi ya ugaidiTaaluma yenyewe unaiweza au umesingiziwa
Umesingiziwa kesi ya ugaidi
Raha tupu ilifungiwa enzi za jakaya
Hamza ni shujaaUgaidi siku hizi hakuna, wamemsingizia tu bwana Hamza
Hamza ni shujaa
Ujuzi walionao ni kukamata wapinzaniShujaa aliewaonyesha jeshi la Tz halina ujuzi
Ujuzi wa abrianna ni mkubwa kweny uandishi wa umuhimu wa kuwa na diraShujaa aliewaonyesha jeshi la Tz halina ujuzi
Mwendazake alikuwa mtemiShujaa Hamza lakini si shujaa yule mwendazake.
Mwendazake alikuwa mtemi
Mtemi kupitia polisiccm lakini COVID ikamfanya kazi.
Kazi ya mochwari inahitaj ujasiriMtemi kupitia polisiccm lakini COVID ikamfanya kazi.
Kazi ya mochwari inahitaj ujasiri
Lucky ni vibiriti vya enzi ya zamaniUjasiri unaupata when you’re lucky
Kazi ya mochwari inahitaj ujasiri
Ujasiri huo wa hata kuingia mochwari sinao.
Zamani ulikuwaga mshamba sanaSinao tena ujinga nilionao zamani