Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gme bado bichiAbrianna anajihisi yy ndio mshindi wa hii game
Bichi indi ni tamu sanaGme bado bichi
Zisikuchanganye wakati hata maneno na busara zako yapo kama avatar iliyo tabasamUjue avatar zisikuchanganye
Tabasamu,mnalikumbuka hili jarida?Zisikuchanganye wakati hata maneno na busara zako yapo kama avatar iliyo tabasam
Jarida lipi tena hilo mkuuTabasamu,mnalikumbuka hili jarida?
Mkuu,hilo ni jarida flani hivi,la kitambo kidogo.Jarida lipi tena hilo mkuu
Kidogo utajua dunia sio nzuriMkuu,hilo ni jarida flani hivi,la kitambo kidogo.
Nzuri tu mbona,labda kama hujakutana na mazuri.Kidogo utajua dunia sio nzuri
Mazuri yapo ukijituma na kuvumilia panda shukaNzuri tu mbona,labda kama hujakutana na mazuri.
Panda shuka hazikwepeki kwenye maisha.Mazuri yapo ukijituma na kuvumilia panda shuka
Maisha ni changamoto kila sikuPanda shuka hazikwepeki kwenye maisha.
Kila siku jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi.Maisha ni changamoto kila siku
Magharibi mwa Africa origin ya black AmerikaKila siku jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi.
America imeteremka hadhi ktk takwimu...Magharibi mwa Africa origin ya black Amerika