Nalog off litenge kutoka maneno mengine unayochangia kwani linatuchanganyaTende ni tamu sana
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalog off litenge kutoka maneno mengine unayochangia kwani linatuchanganyaTende ni tamu sana
Nalog off
Linatuchanganya kama tozoNalog off litenge kutoka maneno mengine unayochangia kwani linatuchanganya
Tozo tusha zoea sasaLinatuchanganya kama tozo
Sasa ni kupambna kuipata tozo ili tusilale gizaTozo tusha zoea sasa
Giza totoro ni ishara ya kupambazukaSasa ni kupambna kuipata tozo ili tusilale giza
Kupambazuka kuendane na kitu mfukoni...Giza totoro ni ishara ya kupambazuka
Mfukoni ukiwa na buku ahsubuhi hii linatosha kwa chapati chai na maharageKupambazuka kuendane na kitu mfukoni...
Maharage pilipili kwa mbali na soda baridiiiiiMfukoni ukiwa na buku ahsubuhi hii linatosha kwa chapati chai na maharage
Baridii la.njombe ni noma sana unaweza kugandaMaharage pilipili kwa mbali na soda baridiiiii
Kuganda kama ganda la ndiziBaridii la.njombe ni noma sana unaweza kuganda
Ndizi zinalimwa bukoba mbeya na.moshiKuganda kama ganda la ndizi
Moshi mwingi huleta madhara na maafa
Maafa ya njaa ni hatariMoshi mwingi huleta madhara na maafa
Hatari lakini inaepukikaMaafa ya njaa ni hatari
Inaepukika ni lafudhi nzuri umenitolea ktk kamusi...Hatari lakini inaepukika
Kamusi siku hizi hazitumiki sana watu wana smartphoneInaepukika ni lafudhi nzuri umenitolea ktk kamusi...
Station zimekuwa ndiyo wakezi na waalimu wa Generation ya vizazi vipya...Kamusi siku hizi hazitumiki sana watu wana smartphone
Vipya vina kasoro nyingiStation zimekuwa ndiyo wakezi na waalimu wa Generation ya vizazi vipya...
Kasoro nyingi zinatokana na macho na hisia za mtazamajiVipya vina kasoro nyingi
Mtazamaji huwa haoni faida mara nyingi zaidi ya mapungufuKasoro nyingi zinatokaga na macho na hisia za mtazamaji