Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Mtu ashakufa miezi 6 iliopita akazikwa ChattoUmbea utaua mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu ashakufa miezi 6 iliopita akazikwa ChattoUmbea utaua mtu
Mapenzi ya Mungu yakatimia Mwanamke amekalia kitiMtu ashakufa miezi 6 iliopita akazikwa Chatto
Kiti kina enzi na madaraka lakini tu kwa muda !!Mapenzi ya Mungu yakatimia Mwanamke amekalia kiti
Muda huu wapo.wanaolia kwenye hii duniaKiti kina enzi na madaraka lakini tu kwa muda !!
Dunia ni kitu duni ndiyo maana ikaitwa Dunia..Muda huu wapo.wanaolia kwenye hii dunia
Dunia ni uwanja wa fujo.Dunia ni kitu duni ndiyo maana ikaitwa Dunia..
Fujo zikizidi zinahatarisha amaniDunia ni uwanja wa fujo.
Amani ndio.jambo.la muhimu zaidiFujo zikizidi zinahatarisha amani
Zaidi ya hapo mambo yanakua sio mazuriAmani ndio.jambo.la muhimu zaidi
Mazuri yataonekana na kufikiwa ikiwa tuna maelewano.bora na imaraZaidi ya hapo mambo yanakua sio mazuri
Maelewano bora na imara ni chachu ya upendo.Mazuri yataonekana na kufikiwa ikiwa tuna maelewano.bora na imara
Uoendo nao uwe na kiasi.ukizidi ni nomaMaelewano bora na imara ni chachu ya upendo.
Noma sana ukipotea umepoteaUoendo nao uwe na kiasi.ukizidi ni noma
Umepotea sana siku hizi,hatukuoni hata kijiweni!Noma sana ukipotea umepotea
Kijiweni kuna jiweUmepotea sana siku hizi,hatukuoni hata kijiweni!
Jiwe lina mvungu ileyoota miziziKijiweni kuna jiwe
Mizizi huweza kutumiwa kama dawa au chakula.Jiwe lina mvungu ileyoota mizizi
Chakula kinachobaki huitwa kiporo!!Mizizi huweza kutumiwa kama dawa au chakula.
Kiporo cha wali maharage ni kitamu balaa.Chakula kinachobaki huitwa kiporo!!
Balaa iliyompata Coacha wa SSC leo itamgharimuKiporo cha wali maharage ni kitamu balaa.