HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Wawili wafananaoDuniani wawili wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawili wafananaoDuniani wawili wawili
Wafananao kam njiwaWawili wafananao
Njiwa wawa kivutio maonyeshoniWafananao kam njiwa
Maonyesho au maonesho ipi sahihiNjiwa wawa kivutio maonyeshoni
Sahihi kuishi kwa kumtegemea MunguMaonyesho au maonesho ipi sahihi
Mungu ni pendo, apenda watu.Sahihi kuishi kwa kumtegemea Mungu
Watu ni wanafikiMungu ni pendo, apenda watu.
Wanafiki sio watu wazuriWatu ni wanafiki
Wazuri wengi akili kidgoWanafiki sio watu wazuri
Kidogo kidogo wa msaada ni bora kuliko mkupuo !!Wazuri wengi akili kidgo
Mkupuo ni mzuri kulinda mzunguko wa biasharaKidogo kidogo wa msaada ni bora kuliko mkupuo !!
Biashara inashemiri na kustawii maeneo ya Sokoni..Mkupuo ni mzuri kulinda mzunguko wa biashara
Sokoni napo hapaelewekiBiashara inashemiri na kustawii maeneo ya Sokoni..
Hapaeleweki mtaani watu tunaviziana kama ma ninjaSokoni napo hapaeleweki
Ninja ni kiumbe wa kufikirikaHapaeleweki mtaani watu tunaviziana kama ma ninja
Kufikirika hakupo ila ninja ni mafunzoNinja ni kiumbe wa kufikirika
Mafunzo ya shotokan, combat, shaolin, muai thai au aikido karateKufikirika hakupo ila ninja ni mafunzo
Karate zinapigwa na zinakata mpaka mifupa wachina waongo waongoMafunzo ya shotokan, combat, shaolin, muai thai au aikido karate
Waongo kama mbunge wetuKarate zinapigwa na zinakata mpaka mifupa wachina waongo waongo
Wetu utamaduni tumeutupaWaongo kama mbunge wetu