BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hatufai kabisa huyo wa KUDEMKA ndani ya miezi michache tu nchi imemshinda kabisa.
Kigeugeu sio mtu mzuri na hatufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigeugeu sio mtu mzuri na hatufai
Haaminiki Kiongozi kigeugeu
Michepuko wanajua sana mapenzi
Nchi hii bora rais niwe mimiKigeu geu ni mtu hatari sana kupewa madaraka makubwa katika nchi.
Mimi nitakuwa Rais bora zaidi kuliko wewe. Kazi na Kujirusha ndiyo motto wangu. 😂😂😂😂
Nchi hii bora rais niwe mimi
Kura nitampigiaWangu mkono tu katika kukupigia kura
Nitampigia iwapo sera zake zitanivutiaKura nitampigia
Zitanivutia endapo zitalenga kuleta maendeleoNitampigia iwapo sera zake zitanivutia
Maendeleo hayana chamaZitanivutia endapo zitalenga kuleta maendeleo
Maendeleo hakuna Katika Nchi maskini tunadanganyana.Zitanivutia endapo zitalenga kuleta maendeleo
Chama ni kikundi cha watu wenye itikadi zinazofanana zenye lengo la kuongoza watu.Maendeleo hayana chama
Kuongoza watu ni ujasiri wa hali pekee....Chama ni kikundi cha watu wenye itikadi zinazofanana zenye lengo la kuongoza watu.
Pekee hawezi anahitaji usaidiziKuongoza watu ni ujasiri wa hali pekee....
Usaidizi ni muhimu hasa pale unapokua huwezi kutekeleza jamboPekee hawezi anahitaji usaidizi
Jambo la msingi ni kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata haki zake za msingi kwa kufuata misingi ya katibaUsaidizi ni muhimu hasa pale unapokua huwezi kutekeleza jambo
Katiba gani? hii musiyoitaka?Jambo la msingi ni kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata haki zake za msingi kwa kufuata misingi ya katiba
Musiyoitaka ndio inaletwa nchiniKatiba gani? hii musiyoitaka?
Raha ndio mwanzo wakujisahauNchini wengi hawana raha.