Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Wakujisahau ni wewe si mimiRaha ndio mwanzo wakujisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakujisahau ni wewe si mimiRaha ndio mwanzo wakujisahau
Mimi nipo makini hifu kwenu wengineWakujisahau ni wewe si mimi
Wengine tupo club tnaenjoy weekendMimi nipo makini hifu kwenu wengine
Weekend mfuko.ukiwa empty aisee ni sawa na kuwa mgonjwaWengine tupo club tnaenjoy weekend
Mgonjwa apumzike hadi amalize doziWeekend mfuko.ukiwa empty aisee ni sawa na kuwa mgonjwa
Dozi ya ARV uswahili wanaita diamond karangaMgonjwa apumzike hadi amalize dozi
Karanga za kukaanga nazipenda sana, mbichi zimenishinda.Dozi ya ARV uswahili wanaita diamond karanga
Zimekushinda kwa niniKaranga za kukaanga nazipenda sana, mbichi zimenishinda.
Nini tena zaidi ya ule utomvu wake na kichwa huwa kinaniuma..Zimekushinda kwa nini
Kinaniuma sana huu mchezo kukosa mshindiNini tena zaidi ya ule utomvu wake na kichwa huwa kinaniuma..
Mshindi ni mimi hapa.Kinaniuma sana huu mchezo kukosa mshindi
Hapa hauko peke yako tunashindana ujueMshindi ni mimi hapa.
Ujue wa mwisho ndio mshindi..Hapa hauko peke yako tunashindana ujue
Mshindi ni mimi nasema tenaUjue wa mwisho ndio mshindi..
Ujue wa mwisho ndio mshindi..
Tena na tena naweka kigingiMshindi ni mimi nasema tena
Tena wewe hupaswi kuwa mshindi angali nipo hapa.Mshindi ni mimi nasema tena
Kigingi ulichoweka ni kidogo sana kwanguTena na tena naweka kigingi