Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
Bei kubwa kuliko gasMkaa umepanda bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei kubwa kuliko gasMkaa umepanda bei
Gas haipikii kandeBei kubwa kuliko gas
Kande linapikiwa kwenye mkaa au jiko la kuniGas haipikii kande
Kuni ndio.zitaiva vizuriKande linapikiwa kwenye mkaa au jiko la kuni
Vizuri zaidi zikiwa kavuKuni ndio.zitaiva vizuri
Kavu au unavaaVizuri zaidi zikiwa kavu
Unavaa viatu vya shuleKavu au unavaa
Shule inaungua motoUnavaa viatu vya shule
Moto Chini unanikumbusha Kibao cha SUGUShule inaungua moto
SUGU kugombea tena ubunge awamu ijayoMoto Chini unanikumbusha Kibao cha SUGU
Ijayo hiyo awamu tutaona mengiSUGU kugombea tena ubunge awamu ijayo
Mengi yatasemwa juu yako ila wewe usiwajali, mtegemee Mungu.Ijayo hiyo awamu tutaona mengi
Mungu ni muweza wa yoteMengi yatasemwa juu yako ila wewe usiwajali, mtegemee Mungu.
Yote yanawezekana kwakeMungu ni muweza wa yote
Kwake kuna uzima wa mileleYote yanawezekana kwake
Milele daima tunamshukuruKwake kuna uzima wa milele
Tunamshukuru Mungu leo tumeamka SalamaMilele daima tunamshukuru
Salama ni jina la mtangazajiTunamshukuru Mungu leo tumeamka Salama
Mtangazaji na jaji wa bongo star searchSalama ni jina la mtangazaji
Bongo star search ilikuwa zamani.Mtangazaji na jaji wa bongo star search