HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Sijakosea na wala wewe hujakosea, upo sawa kabisaDublin ndio mji mkuu wa Ireland, kama sijakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakosea na wala wewe hujakosea, upo sawa kabisaDublin ndio mji mkuu wa Ireland, kama sijakosea
Kabisa, nikopeshe elfu mojaSijakosea na wala wewe hujakosea, upo sawa kabisa
Moja kwa moja wanarusha vipindi vyao redioniKabisa, nikopeshe elfu moja
Nalizwa na hawa waongo wa mapenzi
Sijakosea na wala wewe hujakosea, upo sawa kabisa
Pesa nayo huisha tupendane kwanzaSana sana tunapenda pesa.
Kwanza mimi ni utopoloPesa nayo huisha tupendane kwanza
Utopolo maana yake iliyolegeaKwanza mimi ni utopolo
Iliyolegea kama mlendaUtopolo maana yake iliyolegea
Mlenda unavutika kama gundi. Ilikua siupendiIliyolegea kama mlenda
Siupendi mimi sijawahi kulaMlenda unavutika kama gundi. Ilikua siupendi
Siupendi mimi sijawahi kula
Kula mlenda unateleza balaa ukiweka tonge chap lishafika tumboniSiupendi mimi sijawahi kula
Tumboni kwa mrembo kama abrianna mlenda haufaiKula mlenda unateleza balaa ukiweka tonge chap lishafika tumboni
Haufai hakika. Kinacho mfaa pizza au zegeTumboni kwa mrembo kama abrianna mlenda haufai
Zege halilali.Haufai hakika. Kinacho mfaa pizza au zege
Hailali itagandaZege halilali.
Itaganda ni mtaa unapatikana UgandaHailali itaganda
Uganda itamkumbuka Idi AminiItaganda ni mtaa unapatikana Uganda