bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Kupatikana kwa juaKutoweka kwa Washawasha kwenye Uzi huu ni dalili ya Mshindi kupatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupatikana kwa juaKutoweka kwa Washawasha kwenye Uzi huu ni dalili ya Mshindi kupatikana
Jua lina umuhimu sana kwa Afya ya Mwili na NgoziKupatikana kwa jua
Ngozi ichunweJua lina umuhimu sana kwa Afya ya Mwili na Ngozi
Ichunwe ikiwa imening'inia kuhakikisha usafi wa Nyama na ubora wa NgoziNgozi ichunwe
Ngozi hailiwi labda kuwambia ngomaIchunwe ikiwa imening'inia kuhakikisha usafi wa Nyama na ubora wa Ngozi
Ngoma zetu za asili ni nzuri
Nini kwani
Kwani anakataa sasa yule mama.hurumaNini kwani
Utumwa ukiletwa na waarabu kwa mara ya kwanza afrika
Afrika ni bara la giza, alisema ruth fineganUtumwa ukiletwa na waarabu kwa mara ya kwanza afrika
Afrika ni bara la giza, alisema ruth finegan
Jina hilo linajulikana kwa wataalam wa fasihi andishiFinegan? Sijawahi sikia hili jina
Jina hilo linajulikana kwa wataalam wa fasihi andishi
Masuala ya kisayansi yanahitjji utatuzi wa kisayansiAndishi na simulizi.. dah!! Nilishasahau haya mambo baada ya kuingia kwenye masuala ya kisayansi
Kisayansi, ni muda gan sahihi wa mtt kuacha kunyonyaAndishi na simulizi.. dah!! Nilishasahau haya mambo baada ya kuingia kwenye masuala ya kisayansi
Kisayansi, ni muda gan sahihi wa mtt kuacha kunyonya
Miwili ndio muda sahihi kumuachisha nyonyoKunyonya anaweza kuacha baada ya mwaka na nusu. Wengine mpaka miwili.
Miwili ndio muda sahihi kumuachisha nyonyo