Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Moto wa jehanamu ni mkaliNyonyoa kuku kwa maji ya moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto wa jehanamu ni mkaliNyonyoa kuku kwa maji ya moto
Nani ni mchezaji wa zamani wa klabu moja ya mpira nchini uingerezaWewe pekee ndie unaeamua uwe nani
Nani ni mchezaji wa zamani wa klabu moja ya mpira nchini uingereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Man U ndio klabu aloichezea niliiacha makusudi uitaje weweUingereza kuna timu nyingi, sema Man U
Wewe no shabiki wa mpira
Je unapenda timu gani mimi napenda Arsenal
Arsenal watakuua kwa presha mrembo, karibu Red devils(Mashetani wekundu pale jijini Manchester)Je unapenda timu gani mimi napenda Arsenal
Arsenal watakuua kwa presha mrembo, karibu Red devils(Mashetani wekundu pale jijini Manchester)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujao ni wakati utakaowafurahisha na kuwaliza wengiManchester derby ipo mwezi ujao
Single kwa maana unapika na kupakua mwenyeweWengi wetu humu tupo single
Mwenyewe usiku usingizi saa zingine unakata u singke majanga
Majanga unajitakia mwenyewe tu akina Mama chanja huwaoni?Mwenyewe usiku usingizi saa zingine unakata u singke majanga
Huwaoni swala
Swala tuna watafuna ila simba siku zingine lazima ujue kuna kukosa swala mawindoniHuwaoni swala
Mawindoni usifatane na watoto watakuharibiaSwala tuna watafuna ila simba siku zingine lazima ujue kuna kukosa swala mawindoni
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Watakuharibia wavivu katika kuwinda kisu kikali kwa uharaka wa kula nyama ni.pesa chapaa mkwanja majina mengi saana