atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Pumzi yake ya mwisho ilipokata macho yakapanda juu yakamfika mauti..
Mauti yakikufika huwezi yakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzi yake ya mwisho ilipokata macho yakapanda juu yakamfika mauti..
Yakimbie matusi ya mlevi Ili uheshimike..Mauti yakikufika huwezi yakimbia
Uheshimike kama mimiYakimbie matusi ya mlevi Ili uheshimike..
Nimesimama Kama mlongoti wa benderaMimi siwezi kula huku nimesimama
Bendera ya Tanzania ina rangi nne ambazo ni Kijani, Buluu, Njano, NyeusiNimesimama Kama mlongoti wa bendera
Weusi ni sisiNyeusi inawakilisha watu weusi
𝚂𝚒𝚜𝚒 𝚑𝚊𝚝𝚞𝚖𝚙𝚎𝚗𝚍𝚒 𝚢𝚎𝚢𝚎.Weusi ni sisi
Yeye mwenyewe alisema yale maneno𝚂𝚒𝚜𝚒 𝚑𝚊𝚝𝚞𝚖𝚙𝚎𝚗𝚍𝚒 𝚢𝚎𝚢𝚎.
Yale maneno yako yaliniumiza kweli.Yeye mwenyewe alisema yale maneno
Kweli tunajinasibu na weusi huu siyo ubaguzi?Yale maneno yako yaliniumiza kweli.
Ubaguzi ni janga la duniaKweli tunajinasibu na weusi huu siyo ubaguzi?
Dunia ni sisi walimwengu ...Ubaguzi ni janga la dunia
Walimwengu awakosi visaDunia ni sisi walimwengu ...
Visa ndiyo hulka zetu hapo ndipo kukosoana..Walimwengu awakosi visa
Kukosoana kwahitaji hekima....Visa ndiyo hulka zetu hapo ndipo kukosoana..
Hekima ya mfalme suleimanKukosoana kwahitaji hekima....
mno ni sawa na kusema 𝒔𝒂𝒏𝒂.Suleiman Alikuwa mfalme maarufu mno