Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe kwa wenyewe wanapeana nafasi za KaziKuongezeka huko kunatokana na mambo mengi ambayo mnayajua wenyewe
Achunge kondoo vizuri huyo mtumishiSiku hizi upendo kwa baba mtumishi Pep unazidi kuongezeka .
HakikaHeshimika kwa wote na ishi na watu vizuri
Kazi iliyobaki ni ndogo, nitaimalizia keshoWenyewe kwa wenyewe wanapeana nafasi za Kazi
Kesho jumapiliKazi iliyobaki ni ndogo, nitaimalizia kesho
Jumapili tunaenda kusaliKesho jumapili
Kusali sio lazima iwe jumapiliJumapili tunaenda kusali
Jumapili tutapika pilauKusali sio lazima iwe jumapili
Pilau nyamaJumapili tutapika pilau
Nyama fulani ya kubanika tamu na laini ile mbaya nilikulaga pale nyuma ya Best Bite Morocco miaka karibia 10 iliyopita, hivi bado wapo wale jamaa?Pilau nyama
Jamaa walikua na nyama tamuNyama fulani ya kubanika tamu na laini ile mbaya nilikulaga pale nyuma ya Best Bite Morocco miaka karibia 10 iliyopita, hivi bado wapo wale jamaa?
Na baadae jioni tutatoka outJumapili tutapika pilau
Out hivyo vipi?Na baadae jioni tutatoka out
Mambo ya kiwa magumu usikate tamaaVisi mambo?
Tamaa ilimponza fisiMambo ya kiwa magumu usikate tamaa
Fisi wengi wapo madarakaniTamaa ilimponza fisi
madarakani kulivyo kutamu wewe unaesema wenzako ndo ungekuwa kobokoFisi wengi wapo madarakani
Kiboko yao, jina la Wimbo wa Lady Jay Deemadarakani kulivyo kutamu wewe unaesema wenzako ndo ungekuwa koboko