Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Amepona yuko fresh na anamsubiri baba mtumishi ili wale pamoja zege[emoji23].

Usiku nilibanwa kimtindo..homa ilikuwa juu.
Leo nimedungwa sindano[emoji846]

Ukisikia mgonjwa wa mwendokasi ndio mimi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2047516
Mimi sasa naweza kula pia.

Kwenye sindano najua mtoto wa mwisho alilia, pole 🤣🤣

Glory to God mtumishi mwenzangu, stay safe.

Sijakula zege kitambo sana
 
mtumishi tuna hamu ya kujua, wew na baba mtumishi mmekutana jf ama mmejuana zamani
Zamani nilikua simjui Saint Anne, nimemfahamia humu jamvini.

Itoshe tu kusema kwamba ni heri midomo yake inibusu,
Maana pendo lake ni bora kuliko divai,
Manukato yake yanukia vizuri kama maua ya kondeni,
Naaam, na jina lake ni kama marashi yaliyomiminwa.
 
Back
Top Bottom