Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skylar mwenywe kwani anasemaje
Anasemaje kuhusu kucheza mziki na mbaga.?Skylar mwenywe kwani anasemaje
Mbaga ninakualika kwenye sikukuu ya christmas wewe pamoja na PepAnasemaje kuhusu kucheza mziki na mbaga.?
Wivu ni kidonda na ukishiriki utakondaPep ata mind maana si unajua watu tumeumbiwa wivu.
Utakonda kwa sababu ya kukosa chakulaWivu ni kidonda na ukishiriki utakonda
Utakonda kwa sababu ya kukosa chakula
Taratibu baba mtumishi anajongea nyumbaniChakula kitamu leo ila kuna kuvimbiwa taratibu
Nyumbani kwetu ni mbinguniTaratibu baba mtumishi anajongea nyumbani
Mbinguni ndio makazi yetu, duniani tunapitaNyumbani kwetu ni mbinguni
Tunapita na kila kitu kitabaki.Mbinguni ndio makazi yetu, duniani tunapita
Naimba na furahaTunapita na kila kitu kitabaki.
Binadamu ni mchanga,itabaki milele milima.
Majivuno ni ya nini?
Naimba[emoji23]
Furaha ni pesa japo wengi wanabisha.Naimba na furaha
Wanabisha nini sasa wakati ukweli ndio huoFuraha ni pesa japo wengi wanabisha.