Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hatujuani lakini tunaheshimiana.Heshima ni kitu cha bure, ni vizuri kuheshimiana hata kama hatujuani
Mimi na baba mtumishi tulianza kuheshimiana kabla hata ya kujuana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujuani lakini tunaheshimiana.Heshima ni kitu cha bure, ni vizuri kuheshimiana hata kama hatujuani
Kujuana ni vizuri, naomba tujuane na alieanzisha huu uzi anaitwa bwana WambuziHatujuani lakini tunaheshimiana.
Mimi na baba mtumishi tulianza kuheshimiana kabla hata ya kujuana.
Please niambie ni ipi? 🤭Chunya nini bana[emoji19] Pep,ile picha inamtia mama mtumishi majaribuni[emoji23],usiniulize kivipi.
Anataka ile umeinua simu bila michoro.
Please babe please[emoji8][emoji8]
Wangu wa moyoni Naitaka hii bwanaPlease niambie ni ipi? 🤭
________
Niliyoinua simu ukiiunganisha na nyingine unapata the complete thing mrembo wangu...
Jina lake linavuma kwenye mitaa.....jina lakeJina lake linavuma kwenye mitaa.
Ndugu zangu jina lake linaongeza idadi ya maadui,wengine anawajua wengine hawatambui...Jina lake linavuma kwenye mitaa.....jina lakelina hadhi ya ki superstar....
Halina kwakweli, hapo nimesema uongo ndugu zangu 🤣🤣
Wangu mtumishi ile ya kwenye kioo ile kwa kweli inanitia mama mtumishi majaribuni🙈Please niambie ni ipi? 🤭
________
Niliyoinua simu ukiiunganisha na nyingine unapata the complete thing mrembo wangu...
Majaribuni? nimecheka kitopolo atiWangu mtumishi ile ya kwenye kioo ile kwa kweli inanitia mama mtumishi majaribuni🙈
Mtumishi wangu😍asanteMichoro itatoka siku nyingine
Ila kwa leo kaa kwenye hii tu mama mtumishi wangu
View attachment 2073252
Tena majaribu mazito ukizingatia mama mtumishi yupo mid ishirini,,umri wa motomoto😆Majaribuni? nimecheka kitopolo ati
Wacha nikaiangalie vizuri 🤣🤣🤣
Majaribuni? nimecheka kitopolo atiWangu mtumishi ile ya kwenye kioo ile kwa kweli inanitia mama mtumishi majaribuni🙈
Mid ishirini ni umri wa moto moto kwakweli.Tena majaribu mazito ukizingatia mama mtumishi yupo mid ishirini,,umri wa motomoto😆
Mwenzio ile ita blow cover yake mazima atiMtumishi wangu😍asante
Ila mimi nataka ile bwana😒,please bana usinitese mwenzio.
Baba mtumishi wangu yupo kale ka age pendwa.Majaribuni? nimecheka kitopolo ati
Wacha nikaiangalie vizuri 🤣🤣🤣
Mid ishirini ni umri wa moto moto kwakweli.
Ni jambo la baraka kuna ka significant gap kati yako na baba mtumishi 😉
Ati kwa kipenzi chake kuna shida gani akiblow cover huyu asali wa moyo wake?Mwenzio ile ita blow cover yake mazima ati
Asali wa moyo wake atamuona asali mwenzie Mungu akipendaAti kwa kipenzi chake kuna shida gani akiblow cover huyu asali wa moyo wake?
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]Asali wa moyo wake atamuona asali mwenzie Mungu akipenda
Umeninyima?[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Umeninyima
Mods nini Bwana ,unaninyanyasa leo😒Umeninyima?
Ona sasa umeharibu flow za uzi.
Nakuitia Mods
Leo sikunyanyasi...it is another way of showing my strong love to you.Mods nini Bwana ,unaninyanyasa leo😒
You don't care about my feelings kabisa[emoji17]Leo sikunyanyasi...it is another way of showing my strong love to you.