Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kusahaulika n ngumu mnoo, majeraha ya moyo yanaweka makovu yasiyopona.

Majeraha hayohayo hubadili watu na kuwa wanyama, watu huzaliwa wakiwa na mioyo safi kabsa lkn watu ndyo huaribu watu na kuwa na mioyo ya wanyama.
Wanyama wana nafuu kuliko Binadamu akibadilika Roho
 
Back
Top Bottom