Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Mwendo wa vyombo vya usafiri wa umma, hasa mabasi siku hizi hauzingatii speed governor.mdogomdogo ndio mwendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendo wa vyombo vya usafiri wa umma, hasa mabasi siku hizi hauzingatii speed governor.mdogomdogo ndio mwendo
Governor wa Bot kabla ya kumaliza muda wake inatakiwa utumikie miaka mingapiMwendo wa vyombo vya usafiri wa umma, hasa mabasi siku hizi hauzingatii speed governor.
Mingapi unauliza swali au? Nakujibu hapa, nafikiri anatakiwa atumikie miaka mitano kwa vipindi viwili tu, kwa mujibubwa sheria.Governor wa Bot kabla ya kumaliza muda wake inatakiwa utumikie miaka mingapi
Sheria ni msumenoMingapi unauliza swali au? Nafikiri anatakiwa atumikie miaka mitano kwa vipindi viwili tu, kwa mujibubwa sheria.
Msumeno ni kifaa muhimu sana siku hizi sio tu kwa mafundi seremala bali hata mafundi bomba.Sheria ni msumeno
Mafundi bomba ni watu muhimu sanaMsumeno ni kifaa muhimu sana siku hizi sio tu kwa mafundi seremala bali hata mafundi bomba.
Sana ukifikiri utafahamu kuwa, kwa mujibu wa mafundisho ya dini maisha ni ubatili tupu.Mafundi bomba ni watu muhimu sana
Yako 😅 ni yako na yangu ni yanguTupu yako mtoto wa kike sharti uitunze... ikitumika sana itazeeka na kusinyaa na hakuna atakayekutaka tena baada ya kuiona hiyo tupu yako 😅
Yako 😅 ni yako na yangu ni yangu
Yako wapi mapenzi ya kweli?Yangu hutayaweza shughulika na yako 😀
Hadaa za wanasiasa ni kuwa karibu na wananchi katika kipindi cha kampeni, wakishapata nyadhifa hufanya mambo yanayowanufaisha wao na jamaa zao.Kweli dunia hadaa...
Jamaa zao na marafiki ni watu wa muhimu kwaoHadaa za wanasiasa ni kuwa karibu na wananchi katika kipindi cha kampeni, wakishapata nyadhifa hufanya mambo yanayowanufaisha wao na jamaa zao.
Mzigo wa dhambiUjinga ni mzigo😊👍🏾