Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

unaluburuza lisandawiri lako katka tope aibu hauna ulalie shuka jeupe
 
Rangi zipo za aina mbalimbali mfano nyeusi, kijani na manjano.
 
Moja moja mdogo mdogo mpaka kinaeleweka uchaguzi 2015.
 
2015 ndiyo zitto kabwe anaingia Ikulu kwa mara ya kwanza kwa chama pinzani.
 
2015 ndiyo zitto kabwe anaingia Ikulu kwa mara ya kwanza kwa chama pinzani.
pinzani si neno sahihi sema shindani yani zitto ataingia ikulu kwa tikiti ya chama shindani namimi ndo wamwisho sababu hamna mtu atakaeweza kuandika sentesi inayoanza na neno shindani
 
pinzani si neno sahihi sema shindani yani zitto ataingia ikulu kwa tikiti ya chama shindani namimi ndo wamwisho sababu hamna mtu atakaeweza kuandika sentesi inayoanza na neno shindani

Shindani ni neno la kawaida ila kama wewe umepata Div "0" hauta weza kulitumia tena neno Shindani...
 
Mawazo ya Magwanda kuwakamata Magamba ni kama Tom kumkamata Jerry
 
pinzani si neno sahihi sema shindani yani zitto ataingia ikulu kwa tikiti ya chama shindani namimi ndo wamwisho sababu hamna mtu atakaeweza kuandika sentesi inayoanza na neno shindani

nilitaka niibuke mshindi kwa gori la mkono nashukuru kwa kuwa mwamuzi mzuri.
 
Shindani ni ushindanishaji wa nafasi au cheo au hata kombe ili kumpata mmoja au kikundi kilichoshinda au alie shinda ,pia hata timu ,mi nafikiri ndie mtu wa mwisho namalizia kusema nimeshinda na si utani kabang!
 
Kubag maana yake nini we kijana au waleta lahaja za kimtang'ata?
 
Mbona mnavuruga hii maada? neno la mwisho ni KABAANG,hilo neno NGANO limetoka wapI? katika sentensi yangu halipo! MOD anisaidie ,kwani mi ndie mshindi, neno la mwisho lilikuwa ni KABAANG! na halijaendelezwa,au alieanzisha atoe uamuzi ,KABAANG MAMBO YA KIFURUSHI CHA TIGO WIKI NZIMA BUKU TISA MPO HAPO ,MWISHO WA SHINDANO!
 
Back
Top Bottom