Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mafeisbuku yameharibu kabisa hii generation
 
Mimi ni mkuu. mkuu wa nchi kikwete. Kikwete n rais bora. Bora simba kuliko yanga. Yanga n wababaishaji coz awapend azam tv. Azam tv n chanel mpya. Mpya n safi kuliko ya zamani
 
Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

Mfano:

Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

zaidi ya wanawake milioni kumi tanzania ni malaya!
 
malaya wengi wa bongo ni watoto wa shule,shule nyingi za kata hazina maabara,maabara za hospitali zetu zinauhaba wa vifaa,vifaa vya ujenzi kila siku vinapanda bei,bei ya kuku wa kienyeji ni ghali kuliko wa kizungu.
 
Back
Top Bottom