Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafeisbuku yameharibu kabisa hii generation
Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..
Mfano:
Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi
kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Wa mwisho ndo mshindi
Kufulia,kuogea na hata kuoshea vitu mbali mbali
Uchizi aje? Huu uzi bado watu wanachangia tuu? Mi ndio wa mwisho
XXX nice movie