Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

mimi natamani mshindi asipatikane tuendelee hv hv na haka kamchezo miaka yote
 
Huu mchezo siku zote me nimesema namsubilia wa pili kutoka mwisho akipatikana nishtueni.
 
yangu macho, hii ishu ya agness masogange sasa imenoga
 
Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

Mfano:

Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Haka ka mchezo kako poa sana, tutupie nakengine Mkuu.
 
Back
Top Bottom