pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
Anajua kila kitu kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua kila kitu kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu
Ulimwengu una mengi ya kushangaza na kustajaabisha
Kustaajabisha kwa ulimwengu kunatokana na matendo ya wanadamu
Kustaajabisha kwa ulimwengu kunatokana na matendo ya wanadamu
Wanadamu wabaya sana
mwituni siku hizi hakuna kuni kwasababu ya ujangili na vitendo vya kiharamia.
Kiharamia kuliko tunavyo habari kwenye redio
Redio zetu siku hizi ni full ubishoo
Ubishoo mwingine hausaidii
hausaidii kabisaa haki ya nani!!
Kila uchao, Tanzania inazidi endeshwa na matukio
Tuu... tu... tuendeleeni na mchezo japo mshauvuruga, wengine hata hamjui sheria zake...
zetu sisi ni classic kuliko zao