mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
mawazo mengi ni kushindwa kujiaminilock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mawazo mengi ni kushindwa kujiaminilock haitoki bar ladba upunguze mawazo
zake .NImeshindwa kuanzisha sentensi inayo anzia na zake.
unupigwa ndo kitu gani.Umeamua kuishia neno gumu ili wewe ndo ushinde.Kwa Taarifa Yako Hushindi N'goo.Mshindi wa huu atakuwa SAYANSIKIMU.
shikamoo mkuu bilionea masikini,ntajitahidi kuwa siriaz',lakini hii thread ilishavurugwa kitambo hadi nikakereka!rejea comment yangu ya mwanzo kabisa kwenye huu uzi,tulianza vizuri tu!haya tumeishia wapi?Hebu kuwen serious kidogo eeh!! Wewe nelson nely, mankachara na cjui ADK mnaharibu rhythm ya mchezo, MNABOAAA!!
sasa mankachara kaharibu nini mkuu?alichofanya ni kuendeleza comment ya felinda!labda nilaumu mimi tu hapo,maana nakiri kweli nimetibua.Hebu kuwen serious kidogo eeh!! Wewe nelson nely, mankachara na cjui ADK mnaharibu rhythm ya mchezo, MNABOAAA!!
lilipona baada ya kuumwa sana,sasa wamelitupa hotel management!SAYANSIKIMU ilikuwepo kwenye mtaala wa.elimu ya msingi miaka ya nyuma hivi baada ya mtaala kubadilishwa hili somo lilipona?
Yangu macho, mchezo huu hautaoata mshindi.bungeni siendi tena bunge limekua la ovyo ni uchama kwanza badala ya utanzania kwanza na 2015 sipigi kura hadi sheria ya mgombea binafsi ipitishwe haya mambo ya uchama yanaiua tanzania yangu
mche wa mbegu au mche wa nini?