BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
sio swala la wema au kuto kuwa wema ila ni sikukuuza kipagani na ni moja wapo ya Scam kubwa sana ilio fanikiwa Dunia ino koteKwa hiyo yeyote asiyesherehekea Christmas/pasaka ndiyo anakuwa mwema sana?
kwa nini ikawa 25? ni Scam kubwa sana ilifanikiwaNaomba ieleweke na iendelee kueleweka. Kanisa la Roman Catholic linasherehekea KUMBUKUMBU YA KUZALIWA YESU KRISTU, na linatambua wazi kwamba tarehe halisi ya kuzaliwa Yesu haipo katika kumbukumbu. Kwa hiyo mtu yeyote wa imani yoyote anayedhani kwamba ANALETA HOJA MPYA KWA kusema kuwa tarehe 25 Disemba sio tarehe halisi ya kuzaliwa Kristu, basi ajue kuwa HIYO SIO HOJA MPYA, HATA RC WANAJUA SIO TAREHE HALISI. Kwa mantiki hiyo, uzi wowote au post yoyote inayohoji, haitakuwa na majibu zaidi ya kwamba HIYO NI KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU.
Iwapo wewe unasherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwamko (ni kumbukumbu maana katika uchanga ule, haukuwa na akili ya kujua tarehe halisi zaidi ya kusimuliwa), iweje uzuie wengine wasisherehekee KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU? Wewe ni zaidi ya Kristu? Sikukuu njema!
Wewe unaumia nini kuhusu sikukuu za kipagani na scams?sio swala la wema au kuto kuwa wema ila ni sikukuuza kipagani na ni moja wapo ya Scam kubwa sana ilio fanikiwa Dunia ino kote
Ni mbinu ambayo ilitumia kujiongezea wafuasi, hata sanamu kuingizwa kwenye mambo ya kiibada iliwaongezea wafuasi wengi sana.Na kanisa Katoliki halijakataa hilo.Nongwa imekuwa kwa wayahudi/wafarisayo aka wasabato.
Scam wapi acheni ujuaji wa kijinga,Basi ni ujinga na hii ndio Scam kubwa kuliko Scam zozote zile.
Wewe anzisha yako ya tarehe 7 Januari.Hata hivyo bado utakuwa kwenye mfumo uleule wa kipagani/gregorian tu.kwa nini ikawa 25? ni Scam kubwa sana ilifanikiwa
Hawa SDA na mashahidi wa Yehova ni vichaa. Huwezi kuacha kusherekea Christmass na unamuamini Jesus, usherekee January, February nk lakini lazima usherekee hyo sikukuu.Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.
Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.
King Henrry nae wakati anaasisi Angalican Church au Church of England na yeye pia alicopy vitu vingi sana kutoka Roman.
Sikuu kuu ya Chrstimas na hata Pasaka ni sikuuu za kanisa la Roman Catholic make ndio waasisi wake, sasa ni ajabu sana waprotestant nao kuanza kuiga na kusherekea.
Charles Taze Russell huyu ni muasisi wa Mashahidi wa Jehova mwinamo karine ya 19 miaka ya 1870 huko. Hawa mashahidi wa Yehova ukifuatilia mafundisjo yao utagundua wako tofauti sana na hawasherekei Chstimas kwa sababu wanaamini ni sherehe za kutungwa.
Eleni G White naye mwaka wa 1860 akisadiana na Mume wake na watu wengine aliasisis SDA church.
SDA church pamoja na Mashahidi wa Jehova hawa ndio hawasherekei iwe ni pasaka wala Chrstimas kwa sababu wanajua fika ni sikuu za kutunga na mbaya zaidi zilitungwa na Roman.
Ingawa pia Wayahudi na wao hawasherekei Chrtimass ila wao sababu yao ni kwamba hawaamini Yesu kama mwokozi wao.
Yesu alizaliwa au hakuzaliwa? Hapo ndipo mnapokwama! Ok, pendekeza iwe tarehe ipi?kwa nini ikawa 25? ni Scam kubwa sana ilifanikiwa
SDA wameshavurugana kuhusu Utatu Mtakatifu. Mwanzo walikuwa wanakataa concept ya Utatu Mtakatifu (Trinity), sasa hivi wanabishana kuhusu maandiko ya Ellen White. Wapo wanaosema aliukubali Utatu Mtakatifu, wapo wanaokataa na kusema kuwa alichoandika hakumaanisha kuukubali Utatu MtakatifuSDA na RC uzi wenu huu. Njooni mtwangane
Fact!Hebu kaa litizimane hili kwa njee namna watu wanavyojinasibu kuwa wao ndo wako sahihi kwa dhehebu zao achilia dini. Alafu Sijui utanishaurije ipi Dini ya kweli au lipi dhehebu la kweli.
Nina uhakika ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi kwa kufikiria kwa uhuru kuhusu dini, Siku hiyo hiyo utaachana nazo.
Kwa sababu ni moja ya siku za mwakakwa nini ikawa 25? ni Scam kubwa sana ilifanikiwa
Ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi Kwa uhuru kuhusu dini utagundua, kitu muhimu ni Imani na kuabudu, na Wala siyo mashindano. Akili iliyokata tamaa na mashindano ya kiimani inaona Imani za kidini ni Mambo ya kutungwa, Naam Mambo Historia nyingi Duniani ni Mambo yaliyotungwa au kuongezewa chumvi.Hebu kaa litizimane hili kwa njee namna watu wanavyojinasibu kuwa wao ndo wako sahihi kwa dhehebu zao achilia dini. Alafu Sijui utanishaurije ipi Dini ya kweli au lipi dhehebu la kweli.
Nina uhakika ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi kwa kufikiria kwa uhuru kuhusu dini, Siku hiyo hiyo utaachana nazo.
Chagua tarehe ambayo unadhani sio ya kipagani, ndio maana ya uhuru wa kuabudu. Usitumie nguvu kuwazuia wengine waliochagua hiyo, bali tumia uhuru wako kuchagua tarehe ambayo unadhani haitaangukia kwenye Gregorian Calendar, maana Gregorian Calendar ililetwa na wapagani wa Kiroma πsio swala la wema au kuto kuwa wema ila ni sikukuuza kipagani na ni moja wapo ya Scam kubwa sana ilio fanikiwa Dunia ino kote
Wewe na nani? πFact!
Kikubwa tuishi katika misingi hii hii tuliyojiwekea,
Ha ha ha! Hili swali umelisuka kweli kweli! Halijibiki kwa namna yoyote ile.Chagua tarehe ambayo unadhani sio ya kipagani, ndio maana ya uhuru wa kuabudu. Usitumie nguvu kuwazuia wengine waliochagua hiyo, bali tumia uhuru wako kuchagua tarehe ambayo unadhani haitaangukia kwenye Gregorian Calendar, maana Gregorian Calendar ililetwa na wapagani wa Kiroma π
Ni vita etiDini baaaana! ππ