Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

Naomba ieleweke na iendelee kueleweka. Kanisa la Roman Catholic linasherehekea KUMBUKUMBU YA KUZALIWA YESU KRISTU, na linatambua wazi kwamba tarehe halisi ya kuzaliwa Yesu haipo katika kumbukumbu. Kwa hiyo mtu yeyote wa imani yoyote anayedhani kwamba ANALETA HOJA MPYA KWA kusema kuwa tarehe 25 Disemba sio tarehe halisi ya kuzaliwa Kristu, basi ajue kuwa HIYO SIO HOJA MPYA, HATA RC WANAJUA SIO TAREHE HALISI. Kwa mantiki hiyo, uzi wowote au post yoyote inayohoji, haitakuwa na majibu zaidi ya kwamba HIYO NI KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU.

Iwapo wewe unasherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwamko (ni kumbukumbu maana katika uchanga ule, haukuwa na akili ya kujua tarehe halisi zaidi ya kusimuliwa), iweje uzuie wengine wasisherehekee KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU? Wewe ni zaidi ya Kristu? Sikukuu njema!
kwa nini ikawa 25? ni Scam kubwa sana ilifanikiwa
 
Na kanisa Katoliki halijakataa hilo.Nongwa imekuwa kwa wayahudi/wafarisayo aka wasabato.
Ni mbinu ambayo ilitumia kujiongezea wafuasi, hata sanamu kuingizwa kwenye mambo ya kiibada iliwaongezea wafuasi wengi sana.
Ni kama walokole kutumia miujiza na ushuhuda feki kuvuta watu, na wanawapata. Watu wanatakiwa wavutwe na Neno la Mungu.

Katika mambo ya krismass sina shida na wakatoriki maana ni maamuzi yao ya kidini qmbqyo hayana uhusiano na maamuzi ya dini yangu.
 
Basi ni ujinga na hii ndio Scam kubwa kuliko Scam zozote zile.
Scam wapi acheni ujuaji wa kijinga,
Wewe sherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Mwokozi Tarehe waachie Warumi namna gani bwana Farisayo?
au hauna hela ya kupiga mvinyo na kitimoto sikukuu hii?

Shetani hapendi watu wafurahie kuzaliwa Mwokozi na ndio maana siku zile akamtumia Herode akajifanya anawapa mawaidha Mamajusi kumbe ana agenda za siri mwisho akaua watoto leo hii huyo kinyamkera Ibilisi anawatumia nyie kupinga Happy birthday party ya Mwokozi wetu Yesu Kristo

Tumestukia hila za mwovu maana leo iliwapasa mtumie siku kueneza habari njema za ujio wa Mwokozi badala yake mmejifungia maghetoni mnamkana dawa yenu inachemka!

Au nasema uongo johnthebaptist?

#Mkisusa sie twala!
😁😁
 
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.

Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.

King Henrry nae wakati anaasisi Angalican Church au Church of England na yeye pia alicopy vitu vingi sana kutoka Roman.

Sikuu kuu ya Chrstimas na hata Pasaka ni sikuuu za kanisa la Roman Catholic make ndio waasisi wake, sasa ni ajabu sana waprotestant nao kuanza kuiga na kusherekea.

Charles Taze Russell huyu ni muasisi wa Mashahidi wa Jehova mwinamo karine ya 19 miaka ya 1870 huko. Hawa mashahidi wa Yehova ukifuatilia mafundisjo yao utagundua wako tofauti sana na hawasherekei Chstimas kwa sababu wanaamini ni sherehe za kutungwa.

Eleni G White naye mwaka wa 1860 akisadiana na Mume wake na watu wengine aliasisis SDA church.

SDA church pamoja na Mashahidi wa Jehova hawa ndio hawasherekei iwe ni pasaka wala Chrstimas kwa sababu wanajua fika ni sikuu za kutunga na mbaya zaidi zilitungwa na Roman.

Ingawa pia Wayahudi na wao hawasherekei Chrtimass ila wao sababu yao ni kwamba hawaamini Yesu kama mwokozi wao.
Hawa SDA na mashahidi wa Yehova ni vichaa. Huwezi kuacha kusherekea Christmass na unamuamini Jesus, usherekee January, February nk lakini lazima usherekee hyo sikukuu.

Ni maadhimisho hata na pasaka ni hvyo hvyo, tarehe na mwezi Wala siyo matter of fact, ni ukichaa tu.

Hizi Imani zimefifisha sana akili za watu, Imani ni kitu simple sana, ni swala la Imani tu, hutakiwi kukompliketisha Mambo.
 
SDA na RC uzi wenu huu. Njooni mtwangane
SDA wameshavurugana kuhusu Utatu Mtakatifu. Mwanzo walikuwa wanakataa concept ya Utatu Mtakatifu (Trinity), sasa hivi wanabishana kuhusu maandiko ya Ellen White. Wapo wanaosema aliukubali Utatu Mtakatifu, wapo wanaokataa na kusema kuwa alichoandika hakumaanisha kuukubali Utatu Mtakatifu
 
Hebu kaa litizimane hili kwa njee namna watu wanavyojinasibu kuwa wao ndo wako sahihi kwa dhehebu zao achilia dini. Alafu Sijui utanishaurije ipi Dini ya kweli au lipi dhehebu la kweli.

Nina uhakika ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi kwa kufikiria kwa uhuru kuhusu dini, Siku hiyo hiyo utaachana nazo.
Fact!
Kikubwa tuishi katika misingi hii hii tuliyojiwekea,
Maana ukiangalia kila kitu kilitengenezwa na watu tu
Kutokana na mazingira yao
Kila mtu yupo sahihi kwa upande wake hivyo kila mtu afurahie kwa nafasi yake
Maisha ni zawadi

Au nasema uongo?
 
Hebu kaa litizimane hili kwa njee namna watu wanavyojinasibu kuwa wao ndo wako sahihi kwa dhehebu zao achilia dini. Alafu Sijui utanishaurije ipi Dini ya kweli au lipi dhehebu la kweli.

Nina uhakika ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi kwa kufikiria kwa uhuru kuhusu dini, Siku hiyo hiyo utaachana nazo.
Ukiamua kuipa akili yako ifanye kazi Kwa uhuru kuhusu dini utagundua, kitu muhimu ni Imani na kuabudu, na Wala siyo mashindano. Akili iliyokata tamaa na mashindano ya kiimani inaona Imani za kidini ni Mambo ya kutungwa, Naam Mambo Historia nyingi Duniani ni Mambo yaliyotungwa au kuongezewa chumvi.

Imani Iko overated sana.
 
sio swala la wema au kuto kuwa wema ila ni sikukuuza kipagani na ni moja wapo ya Scam kubwa sana ilio fanikiwa Dunia ino kote
Chagua tarehe ambayo unadhani sio ya kipagani, ndio maana ya uhuru wa kuabudu. Usitumie nguvu kuwazuia wengine waliochagua hiyo, bali tumia uhuru wako kuchagua tarehe ambayo unadhani haitaangukia kwenye Gregorian Calendar, maana Gregorian Calendar ililetwa na wapagani wa Kiroma 😀
 
Wapumbavu nyie, hamkucopy wakati mnatumia mafundisho ya biblia Yao ambayo mmeichukua direct bila kuhoji humo ndani maandiko ndivyo yalivyotakiwa kuwa?

Yaani huyo mrumi afanikiwe kuharibu mifumo ya kidini then ashindwe kuharibu maandiko mnayoita matakatifu?

Kwa bahati mbaya sana mkatoric hamuwezi kumkwepa kirahisi hivyo mpaka mkatae Kila kitu mlichokikuta kwake, kuanzia mifumo ya kidini, mifumo ya maisha ya kawaida na hesabu za calendar, maandiko mkatafute ambayo yako sahihi na sio biblia ambayo imeshachezewa na hapa huwa hamtaki kukubali ukweli kuwa biblia nayo ni TAKATAKA imeshachezewa sana, imebadirishwa Kila kitu, mambo karibu yote ktk biblia ni uongo, yameandikwa kuwakuza hao hao watunzi wa dini na mataifa Yao bandia ya uroma, Israel feki, na wazungu kiujumla.

Narudia Tena, ni ngumu kwa hayo makanisa uchwara kushindana na babayao sijui mama Yao RC aliyewapa mbinu zote za kidini, huu ndio ukweli mchungu
 
Chagua tarehe ambayo unadhani sio ya kipagani, ndio maana ya uhuru wa kuabudu. Usitumie nguvu kuwazuia wengine waliochagua hiyo, bali tumia uhuru wako kuchagua tarehe ambayo unadhani haitaangukia kwenye Gregorian Calendar, maana Gregorian Calendar ililetwa na wapagani wa Kiroma 😀
Ha ha ha! Hili swali umelisuka kweli kweli! Halijibiki kwa namna yoyote ile.

Wanatamani maandiko yasingeandika habari za kuzaliwa kwa Yesu ila ndio hivyo imeshakuwa. Kwa ujinga wao wanasahau kwamba siku, miezi., miaka na nyakati zote ni mali ya Mungu including hiyo 25 Desemba.

In my opinion hao waliochagua kuzaliwa kwa Yesu kusherehekewa hiyo tarehe walifanya la maana sana; kuwaonesha wapagani kwamba yupo Mungu wa kweli na siku zote including hii ni mali yake! And for sure na ule upagani ukapotea kwa walioiamini Injili Mungu akatukuzwa! Hili hawalioni.

Lau sasa mmesimamia misimamo yenu - Yesu alizaliwa au hakuzaliwa? Kama alizaliwa; pendekezeni tarehe - hawataki! Aaah; hebu wasibabaishe watu.
 
Back
Top Bottom