Mkuu, wamepewa fedha kwa ajili ya miradi ya maji tu. Ni maji tu ya kuoga, kufulia, kupikia na kunywa.
Wala hata sio hela ya bia na bata.
Au kuna ubaya mkuu ?
Maana naona msingi wa hoja yako umeanzia kwenye mgawo wa huo mkopo wa "mabeberu".
Kwa kuwa ulisema mama atakupigeni ndo nikasema uwe muungwana useme dhulma wanazofanya Watanganyika kwa Zanzibar na sio kumzushia rais mambo ambayo hayapo. Ukitaka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwinzio, toa kwanza boriti kwenye jicho lako. Hapa sizungumzii kuuchukia au kuupenda muungano.Mimi sio muumini wa huo muungano uchwara, niwe muungwana vipi kwa muungano nisioutaka?
hivi wabunge wa bara huwa hawalioni hili, au ni mwiko kuliongelea? hakuna hata mmoja anajilipua kutoa hoja hii ijadiliwe? ndio ataona watu wengi mtaani watakavyomsapoti. au wanatetea ugali wao tu.
Tanganyika haina viongozi wanaojali maslahi ya taifa Lao.wengi ni wachumia matumbo Yao,wenye hulka ya kujipendekeza ili waendelee Kula.Ni wanafiki na wabinafsi.Hawawezi kujitoa mhanga kupinga na kuelezea ukweli,kwa maslahi ya wanaowaongoza.Hongera Job Ndugai kwa kujaribu.Wasalaam wana Jamvi!
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Hakuna watu wenye raha katika nchi hii kama Wazanzibari. Wao wana privillages nyingi sana katika taifa kuliko mwananchi wa sehemu yoyote. Wao ni kama wana wa Mfamle na Watanganyika ni vijakazi wao.
Wana Uhuru wa kuishi upande wowote wa muungano na kupata haki zote bila shida yoyote, kitu ambacho ni ndoto kwa Watanganyika wakienda Zanzibar. Hawapewi haki yoyote ile katika visiwa hivyo. Sina haja ya kuelezea kila kitu kwa kuwa kuna nyuzi nyingi humu zimeeleza kwa upana sana.
2. Sasa limekuja swala la mikopo ya nje na ajira. Zanzibar wanatunyonya sana waTanganyika kama vile hamnazo hivi.
Kweli inaingia akilini kwa nchi yenye idadi ya watu 2M kupata Mkopo kwa 25% na ajira 21% dhidi ya nchi yenye watu 58 M?
3. Yote tisa, kumi mimi ninawataka Watanganyika ambao ni Pro-Muungano wa aina hii wanipe faida zinazotokana na Muungano huu kwa watu wa Upande wa Bara? Kwa Lugha nyepesi, mimi mtu wa Morogoreo nina faidika vipi na uwepo wa Muungano huu zaidi ya hasara.?
MWISHO! Jamani tuamke tulisemee taifa letu, tunataka usawa katika nchi yetu na sio vinginevyo
Roho za ubaguzi zinawasumbua hawa waungwana, wanadhani wakishakuwa na Tanganyika yao kila tatizo litakuwa limepata suluhisho.Sielewi kwanini mnateseka sana na suala hili..
Kwaiyo unataka "wao" wapate 1% mkuu ?Ajira 79% Tanganyika na 21% Zanzibar imekaa sawa ?.Idadi ya WaTanganyika 60 million na Zanzibar 1.5 million ????.
Mkuu, wamepewa fedha kwa ajili ya miradi ya maji tu. Ni maji tu ya kuoga, kufulia, kupikia na kunywa.
Wala hata sio hela ya bia na bata.
Au kuna ubaya mkuu ?
Maana naona msingi wa hoja yako umeanzia kwenye mgawo wa huo mkopo wa "mabeberu".
Huu upuuzi sio wa Wana CCMWasalaam wana Jamvi!