MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
umeongea vizuri ulipo mnukuu Ruge hii article imeonekana kama lundo la kinyesi, lete revised version, usiishie kutaja fursa ziko nyingi unatakiwa utoe mfano wa nini wewe umefanya na ten million au amount yoyote ili hiki unachokisema kiwe standard of reference,
Ruge turned 10 mills to billis!!!!!!!! LOL! Hizo invesment that is another topic for another day! Ruge might be feudalistic but he is sayin the truth!
Sister ni kweli na Kuna Baadhi ya Nchi kwa sababu ya maswala ya Kiuchumi mtu haruhusiwi kujenga Nyumba kwa pesa yake, kwa sababu madhara yake nimakubwa kuliko Faida, na hata huku Bongo si kwamba Serikali haijui madhara ya watu kujenga nyumba kwa pesa zao,ila Seriali imeamua kupotezea tu
Ila nia uhakika Wanachi tulio wengi sana hatujui Madhara yake na Serikali kwa makusudi haijawahi dhubutu kuongelea hayo Madhara, Ila nakumbuka Mkapa aikwa Presedent aliwahi kugusia hii ishu ingawa hakuingia Deep
Ruge turned 10 mills to billis!!!!!!!! LOL! Hizo invesment that is another topic for another day! Ruge might be feudalistic but he is sayin the truth!
tell him to show his tax profile if at all it is clean money, he might have done so simply because is working with the oligarchy which has hijacked the tanzania music industry, out of this oligarchy Ruge is a street hawker. His fortune is accidental like that of Adolf Hitler and the Mercedes Benz, when hitler survived a motorcade with a mercedes benz and ordered the car to adopted by the government, without that accident mercedes benz could have died long.
Wewe humjui Ruge. Ruge mutoto ya Prof Mutahaba (Prof that Benz u are drivin is a killer) alianzia mbali sanaaa. Walianza kupiga disco vumbi, wakaenda kwa Bonny love kuanza recording. Na Muta alikuwa anawasaidia tu studioni kwake. Leo hii watu wanajua kaamka tajiri! Aiseeeeeeee! Kusaga nae tunamjua uzuri wakazi wa Kinondoni.
Wale waliona fursa wakaikamata by the balls! Baaaaaaaaaasssss!
Your love is your weakness you might be in double timing bed relationship with the two thieves.
Mie kuelewa ila kuna tatizo katika hili wewe unaingalia hii nyumba amabayo tayari imeshasimama ikiwa na thamani hiyo, je unajua kipato cha huyo mtu wakati alipokuwa anaijenga hiyo nyumba? kumbuka utakuta watu wana miliki nyumba ya milioni hata 90 au zaidi cha kushangaza unaweza kuta hajawaki kuwa sh 10Milion cash, fuatilia sana watu wengi wanajengaje tanzania. Kwa mada hii ni nzuri ila hukujaribu kuangalia kwa mapana zaidi umekuja na hitimisho kwa kuthaminisha nyumba zilizojengwa bila kujua kipato cha wajengaji wakati huo walipokuwa wanajenga, usidhani kila anyemiliki nyumba nzuri alikuwa na hela nyingi kwa mkupuo, na ndio maana kuna wazee mujini hapo wana nyumba hata tatu ila waambie kuna kitu cha milioni 15 cash uone kama wanazo, Na ujue kila kitu kina initial stages, kutokana na background pia mwingine anaanza kwa kujenga maana anajua hawezi kuweka hela zikafika kufanya kitu cha maana ndio maana anawekeza huko kwenye nyumba, pia biashara zipo za aina nyingi zingine haziwezi kufanikiwa bila kuwa na sehemu iliyo tulia sio ile hujue mwenye nyumba kesho atasemaje, na kama unavyojua tena wabongo wengine ukifanyia biashara kwenye nyumba yake utakuwa unapandishiwa kodi kila siku mpka ukome, So vizuri kuangalia haya mambo kwa mapana zaidi kuliko kuja na majibu ya moja kwa moja maisha hayana kanunu moja otherwise yangekuwa marahisi sana hasa ukiifuata hiyo kanuni.Sasa we huoni baba kachemsha! Miaka yote INITIAL CAPITAL kaikalia tu anakusanya tu kodi twa frame anajiona kafikaaaa! Dogo Digitali mwaka tu KARUDISHA INITIAL INVESTMENTS NA RETURNS ZA KUFA MTU!!!!!!!!!!!
Kimsingi saivi hata biashara ikifa haina shoti, coz kesharudisha Initial investments zote! Biashara inajiendesha yenyewe.
Sawa kabisa kama wazo umelikubali pamaja na wengine hapo juu bado hamjachelewa wawezafufua hizo pesa mlizozizika kwa kujengea nyumba(kwa kuuza hizo nyumba/viwanja)na kuanza kuzungusha hizo pesa.Ni mawazo tuMkuu:nimekupata wazo laki nimelikubali.Mimi nimetumia muda mwingi kujenga Nyumba yangu yenye thamani ya sh.50m na nina kiwanja cha sh.20m na nina shamba la heka 10 la thamani ya sh 5m, mpaka sasa sina chochote zaaidi ya hizo aseti tu!!Mkuu naomba msaada wako nifanyeje ili nianze upya ili niweze nifikie huko? Msaada tafadhali na kama kuna mengi ya kunijuza niandikie alicesali@ymail.com thanx
Sister ni kweli na Kuna Baadhi ya Nchi kwa sababu ya maswala ya Kiuchumi mtu haruhusiwi kujenga Nyumba kwa pesa yake, kwa sababu madhara yake nimakubwa kuliko Faida, na hata huku Bongo si kwamba Serikali haijui madhara ya watu kujenga nyumba kwa pesa zao,ila Seriali imeamua kupotezea tu
Ila nia uhakika Wanachi tulio wengi sana hatujui Madhara yake na Serikali kwa makusudi haijawahi dhubutu kuongelea hayo Madhara, Ila nakumbuka Mkapa aikwa Presedent aliwahi kugusia hii ishu ingawa hakuingia Deep