Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
mwenye mimba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.
Genius
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenye mimba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.
Ahahaha kashapigwa chini zamani Sana. Mwingine kashaolewa na ubwabwa tumekula
Gharama zilizotumika.Kwa gharama za nani?
Mkioa kwenu ndo hawapati mimba....? Primitive way of living....Jamaa kasema oeni kwenu hamsikii
😳Mkioa kwenu ndo hawapati mimba....? Primitive way of living....
KIHEREHERE cha BABA MZAZI kujiona Binti Yake Msafi yamemkuta[emoji1787][emoji1787]Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?.
Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpaka sasa binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Primitive way of thinkingMkioa kwenu ndo hawapati mimba....? Primitive way of living....
hii kamba mzee babaYaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaahWenza karibu wote hawafaani..kama mimi siku nafunga ndoa nilikua nimenuniana na mke wangu..yani tena full kukorofishana..na hii inatokea kwa wengi tu..
Nilikua nna gari yangu nakodisha maharusi,weekend nlikua naendesha mwenyewe niliona couples nyingi sana zinazinguana sana siku ya harusi..na wanaonesha tu..
Huyu mwanadada alijiua au ndiyo analea mwanae kisingle Maza?Yani mpaka sasa binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?.
Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpaka sasa binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Mimba ni ugonjwa?Lazima ajiongeze, si mmekuja kupima magonjwa yote [emoji28]