Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Kwa matukio kama haya waiteni wana harakati wa haki za mwanamke, wana majibu ya kuwasaidia
 
Alimsihi wafanya mapenzi ili ampakazie mtoto, huyu mwanamke ni mjanja, akaolewe na mwenye kuweka mimba. Kwa ujumla sio mwaminifu na amekubuhu katika maswala ya uchepukali. Achana nae Mungu amekuonyesha mapema.
 
KIHEREHERE cha BABA MZAZI kujiona Binti Yake Msafi yamemkuta[emoji1787][emoji1787]
 
Technology imekua sana now days eeh, maana watu wanapima ngoma majibu yanakuja ya mimba, daadek hii chai kawape wala msuba wenzio ndengelec waahed
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaah
 
Huyu mwanadada alijiua au ndiyo analea mwanae kisingle Maza?
 
Huyu mwanadada alijiua au ndiyo analea mwanae kisingle Maza?
[emoji1] analea mtoto wake huko. Mwenzie aliyeolewa m Badala yupo kwa mumewe anakula raha asa hivi.
 

Tatizo baba wa binti anajiona anajua kulea, hawa watu hawajui mabinti zao ni malaya tu.
 
Mara nyingi mtoto ni Siri ya mama. Mama ana uhakika kuwa ni mtoto wake kwa kuwa amembeba tumboni (labda abadililishiwe wakati wa kujifungua,ila kwa nada) . Sisi wanaume hatuna tumbo la kubeba mimba, hivyo uhakika hatuna labda DNA. Na DNA unaweza kudanganywa ili kuepusha shari. Kwa hiyo sisi wanaume yetu macho tu.
 
Hii story ni bora ungesema walienda kupima HIV na mimba ingeleta maana kidgo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…