Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu kadhaa ili kuwatusha wengine wasioendelee na uhuni wao.

Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.

Demokrasia afrika haitufai mana hatujui kuitumia kwetu demokrasia ni matusi na kudhalilidhana tu
 
Tumekusikia Maulid Kitenge
 
Ndiyo Itakuwa suluhu ya yanayoendelea?Umeona hiyo ndiyo njia pekee?Nani kakuloga?
Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu kadhaa ili kuwatusha wengine wasioendelee na uhuni wao.

Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.

Demokrasia afrika haitufai mana hatujui kuitumia kwetu demokrasia ni matusi na kudhalilidhana tu
 
Kama mtu katukana sheria zipo hata sisi raia huku mtaani inatokea kutukanana na tunatakiwa kufuata sheria.
 
Alivyokuwa anatukamwa JPM hamkuja na hizi nyuzi

Tulieni sindano ziwaingie😕
 
Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu kadhaa ili kuwatusha wengine wasioendelee na uhuni wao.

Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.

Demokrasia afrika haitufai mana hatujui kuitumia kwetu demokrasia ni matusi na kudhalilidhana tu
Mkuu natamani utoe somo juu ya matumizi mazuri ya demokrasia Africa, kwan anona unatumia demokrasia kupinga demokrasia.

Suala la matumizi ya lugha za matusi na kejeli kwa viongozi nakubaliana na wewe hili halikubaliki.
 
Mh Samia Suluhu hawezi kusikiliza ushauri huo kwa na kuamua kuirudisha nchi zama zile za giza kwa sababu anaelewa fika ukiwa mwanasiasa lazima uwe na ngozi ngumu na uwe tayari kusikia mambo mengi hata yasiyokufurahisha kwa sababu utakuwa unaongoza watu wenye perception tofauti tofauti.
 
Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.

Kwani nchi haina sheria?
 
Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu kadhaa ili kuwatusha wengine wasioendelee na uhuni wao.
Sikubaliani na hoja yako hiyo (maandishi mekundu). JPM kamwe hakuwa "dictator" kwa nchi inayoongozwa kwa utawala wa ushirikishi. Alikemea, kwa nguvu, viongozi wa vyama vya siasa (hata chama chake) na viongozi wa Serikali waliotumia vibaya madaraka yao. Mara kadhaa alifanya ziara za kushitukiza kwenye Taasisi za Serikali, mbali ya kukemea matumizi mabaya ya madaraka, aliwasimamisha kazi viongozi wahusika.

Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.
Uhuru wa maoni una mipaka na wala siyo takwa la mtu kuruhusu au kuzuia. Ukiuka mkono wa sheria unachukua mkondo wake. Rejea Katiba ya JMT (1977) Ibara ya 30(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
 
Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu kadhaa ili kuwatusha wengine wasioendelee na uhuni wao.

Samia fungia vyombo vya habari kama mtangulizi wako ikitokea mtu anatukana adakwe fasta nchi itatulia kama kipindi Cha jpm. Wanakulazimisha uwe kama jpm hakika umefika wakati uwe kama yeye waafrica hawaendi bila mijeredi.

Demokrasia afrika haitufai mana hatujui kuitumia kwetu demokrasia ni matusi na kudhalilidhana tu
Tuliwaambia mara nyingi kwamba Rais Samia ni muingwana ila sio mpumbavu kama wanavyomtukana.

Sasa naona wamevuka mstari mwekundu wapelekewe moto tuu na kazi tunachapa
 
Back
Top Bottom