Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

Mh! andiko lako halina hoja zakutetea! ni kama rai ama ombi tu ambalo halina hoja!
 
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.

WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Chama chetu tunajiita secular tourist.

Mungu yupo but mengine Kama vita vyake na shetani na matatizo yake hayatuhusu.

We were born free .

We deserve to live and enjoy our times free .

Mambo ya kukemea mapepo usiku hatuyataki.

Serikal haiamini katika uchawi

Ulikuja kuroga ,roga na kuku zangu kabisa .
 
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.

WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Thibitisha Mungu yupo.
 
Hoja zenu za kiubaguzi ,kiufupi ni wapumbavu ...Mjitambue mkiacha si mtarudi kama wale Hadzabe ,ukiachwa hata mswaki hautopiga ...Wakati uliopo ni sahihi leta hoja zako baada ya kulewa...Chionda mwenyewe yule mchafu na yule mchokonizi kazoea kuvaa mitumba huku upareni then anakuja kushauri ujinga.
 
Kijana amepata enlightenment, ameukumbuka utoto na akagundua hata huyu Mungu Wa ukristo na uislamu ni utoto, amejitambua kuwa ametoka Kwa wanyama wawili wenye jinsia tofauti, na huu ukristo ambao haumuhusu ni maigizo ya wanyonge, kijana anatafuta Nia ya nguvu

I fucked a Jewish woman too...
 
Thibitisha Mungu yupo.
Intersubjective reality speaks about God, money and Nations...

Kuna aina tatu za uhalisia unofikika lwenye macho...

Objective, intersubjective and subjective realty...

Kuwepo Kwa somo la Mungu kwenye kichwa Cha mwanadamu mwenye mwili wa nyama na anayeona uhalisia Wa aina tofauti ni uthibitisho tosha Wa uwepo wake,

Mungu alikuwepo sema the guy was hostile before christians chose a good god....this happened after Jews being enslaved by evil gods of Romans,

We are animals with conscious, how can we not miss god

Philosophical and philological sense applies in this matter...
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umeonesha kuwa watu wanaweza kutunga hadithi kwamba Mungu yupo, wakajiaminisha yupo.
 
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.

WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Naomba unijulishe huyo Mungu wa Kweli wa Waafrica ni yupi ili na me nimjue!
 
Back
Top Bottom