HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #41
Hujitambui wewe kaa na utumwa wako,MUNGU WA WAAFRIKA yupo na amekuwa akiabudiwa na WAASISI wetu kabla hata ya ujinga wa yesu na mohamad.Kwa nini?
Kuthibitisha uwepo huo ndiyo maana kuna viumbe hai i.: mtu na visivyohai ambavyo havikujileta bali kuna nguvu iliyovifanya viwepo duniani ambayo imeitwa MUNGU.
MUNGU wa Waafrika ni Mungu wa kweli wa watu wote wanaoamini ktk ASILI yao kupitia MAKABILA yao na ana nguvu achana na mumgu wa kutunga wa warabu na wazungu wa kwenye mabiblia na maquruan asiye na nguvu kwani wabunge,viongozi,wachungaji,masheikh,nk waana kupitia yeye na kuganya ufisadi na dhambi nyungi tu lakini hawadhuriki jaribu sasa kuapa kwa MUNGU wa WATU wote wakiwemo Waafrika kupitia MILA zako halafu ufanye usaliti uone.
AMKA!!