Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kiranga unamwabudu/unaabudu naniThibitisha Mungu yupo.
Kiranga unamwabudu/unaabudu naniThibitisha Mungu yupo.
Wale hawana chochote wakijuacho labda kama ni kipimo cha upeo wa kizazi hiki cha vyakula vya GMOHoja zenu za kiubaguzi ,kiufupi ni wapumbavu ...Mjitambue mkiacha si mtarudi kama wale Hadzabe ,ukiachwa hata mswaki hautopiga ...Wakati uliopo ni sahihi leta hoja zako baada ya kulewa...Chionda mwenyewe yule mchafu na yule mchokonizi kazoea kuvaa mitumba huku upareni then anakuja kushauri ujinga.
Nikikuita ni phalla nitakosea ndg?Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Asili ni niniAsili iliyoishi kizazi chako baada ya kuweza kutembea Kwa miguu miwili...
Unatudanganya wewe huenda ni mtoto wa pastaThibitisha Mungu yupo.
Kizazi cha leo kumjua Mungu ni kama haiwezekani, maana ya neno Mungu imegeuzwa na kupewa maana ambayo haiendani na asili yetu sisi kama wanyama,Hujathibitisha Mungu yupo.
Umeonesha kuwa watu wanaweza kutunga hadithi kwamba Mungu yupo, wakajiaminisha yupo.
Huyu mnyama haoni kama watu wamembadilisha sana mpaka kufikia hapo alipo, sorry!! too plastic to figure out.Asili ni nini
Kwa nini una assume kuna ninayemuabudu?Kiranga unamwabudu/unaabudu nani
Hii fallacy inaitwa logical non sequitur.Unatudanganya wewe huenda ni mtoto wa pasta
Hujathibitisha Mungu yupo, unaendeleza hadithi nyingi za longolongo.Kizazi cha leo kumjua Mungu ni kama haiwezekani, maana ya neno Mungu imegeuzwa na kupewa maana ambayo haiendani na asili yetu sisi kama wanyama,
Hii haitoshi kusema Mungu hayupo ila inatosha kusema Mungu Amekufa, tumebaki kuwa watumwa wa mema na mabaya
If this subject is alive in my realm of intersubjectivity as a story or fiction, I mean kiranga, why not subject of god in that same intersubjective awareness...kusema Mungu hayupo ni atheism, na Sina uhakika kama atheism ni Dawa ya kutibu nihilism
Nisikuchoshe mkuu Amekufa, kinachowezekana kwenye Dunia ya Leo ni wewe kuwa Mungu, kuliko mwanadamu kumuona Mungu au kuiona Pepo...
Our new God is Nature, our new Christ is Leto, and our new Jesus is Science, I heard this from a Jewish modern man from Eden,
This new God will cleanse that Buddha shadow and give the sick animal meaning, he won't suffer nihilism again,
Haha mantiki yangu huenda iko sawa mkuuHii fallacy inaitwa logical non sequitur.
Kwanza umeanza na huenda. Unakisia kisia tu bila uhakika.Haha mantiki yangu huenda iko sawa mkuu
Tulia kijana😂Kwanza umeanza na huenda. Unakisia kisia tu bila uhakika.
Pili, hata nikiwa mtoto wa pastor, what has that got to do with the points I am raising?
On top of being a non sequitur fallacy, it is an ad hominem fallacy.
Instead of addressing my points, you are attacking me personally.
Hata "tulia kijana" ni ad hominem attack fallacy.Tulia kijana😂
Hili nalo utalisemea
Thibitisha kuwa wewe haupo au thibitisha mbwa,paka,miti,samaki,nk hawanautofauti lakini wote ni viumbe wenye uhai?Thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini?Thibitisha kuwa wewe haupo au thibitisha mbwa,paka,miti,samaki,nk hawanautofauti lakini wote ni viumbe wenye uhai?
Mungu wa kweli wa Waafrika ni Mungu wa ulimwengu wote aliyeabudiwa na WAZEE WETU tangu kuumbwa kwa Ulimwengu kupitia MILA na DESTURI za KIAFRIKA chini ya MAKABILA yetu na siyo wa kutungwa na kuelezewa katika biblia na quruanNaomba unijulishe huyo Mungu wa Kweli wa Waafrica ni yupi ili na me nimjue!
Kiranga anataka nithibitishe uwepo wa neno,Hujathibitisha Mungu yupo, unaendeleza hadithi nyingi za longolongo.