HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Chama chetu tunajiita secular tourist.Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Thibitisha Mungu yupo.Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
The ask from an imbecile!Kanisa ni Nini?
Intersubjective reality speaks about God, money and Nations...Thibitisha Mungu yupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.Intersubjective reality speaks about God, money and Nations...
Kuna aina tatu za uhalisia unofikika lwenye macho...
Objective, intersubjective and subjective realty...
Kuwepo Kwa somo la Mungu kwenye kichwa Cha mwanadamu mwenye mwili wa nyama na anayeona uhalisia Wa aina tofauti ni uthibitisho tosha Wa uwepo wake,
Mungu alikuwepo sema the guy was hostile before christians chose a good god....this happened after Jews being enslaved by evil gods of Romans,
We are animals with conscious, how can we not miss god
Philosophical and philological sense applies in this matter...
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Naomba unijulishe huyo Mungu wa Kweli wa Waafrica ni yupi ili na me nimjue!Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Asili iliyoishi kizazi chako baada ya kuweza kutembea Kwa miguu miwili...Naomba unijulishe huyo Mungu wa Kweli wa Waafrica ni yupi ili na me nimjue!