H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 May 4, 2025 Thread starter #61 Daudi1 said: Kuanzia lini tumeanza kupangiana? Click to expand... Mjinga hupangiwi bali unafuata mkumbo kama ulivyofuata ukristo/uislam mwenye akili anajipangia ma hafuati mkumbo Amka!!
Daudi1 said: Kuanzia lini tumeanza kupangiana? Click to expand... Mjinga hupangiwi bali unafuata mkumbo kama ulivyofuata ukristo/uislam mwenye akili anajipangia ma hafuati mkumbo Amka!!
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 May 4, 2025 Thread starter #62 KENZY said: Mh! andiko lako halina hoja zakutetea! ni kama rai ama ombi tu ambalo halina hoja! Click to expand... Biblia na quruan ndiyo vinahoja kwa waafrika wafia dini kama wewe
KENZY said: Mh! andiko lako halina hoja zakutetea! ni kama rai ama ombi tu ambalo halina hoja! Click to expand... Biblia na quruan ndiyo vinahoja kwa waafrika wafia dini kama wewe
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 May 4, 2025 Thread starter #63 The redemeer said: Kutokwenda au kwenda kuna athari ipi kwa mwafrika Click to expand... Kama huzioni adhari za kwenda kanisani au msikiti basi wewe ni maiti unatembea ukisubiri kuzikwa. Muda,akili,mali,kutengana,chuki,uninafsi,wizi,utapeli,chuki,nk ni baadhi tu ya athari
The redemeer said: Kutokwenda au kwenda kuna athari ipi kwa mwafrika Click to expand... Kama huzioni adhari za kwenda kanisani au msikiti basi wewe ni maiti unatembea ukisubiri kuzikwa. Muda,akili,mali,kutengana,chuki,uninafsi,wizi,utapeli,chuki,nk ni baadhi tu ya athari