Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatareeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hakika kabisaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha kwanza huo msingi dhaifu ulio kwenye Logic?
Thibitisha kwanini hio hoja niliyoweka hapo juu sio "circular", maelezo yote uliyotoa hapo juu ndiyo hiki hiki ninachokipinga hapa

1.Nani kasema au kuthibitisha kuwa Quran ni kitabu kisicho na shaka ndani take

Umejibu,ni " Allah" kupitia malaika mpaka kumfikia mtume

2.Nauliza tena,kisa hiki cha Allah kumtuma malaika wake mpaka kwa mtume umekisoma wapi au kimeandikwa wapi?

Utanambia kipo kwenye Quran sura Fulani,bado tu hujaona udhaifu Wa hoja yako kuwa unafanya "self reference"?

Yaani ni sawa sawa na hakimu(mpumbavu) ambaye anataka kuthibitisha kuwa mtuhumiwa katenda kosa au lah kwa kumuuliza mtuhumiwa mwenyewe kuwa " umetenda kosa?",mtuhumiwa akisema "hapana", wakili huyu mpumbavu atamuachia huru kwa kuwa mtuhumiwa kasema hajatenda kosa

Hoja yako wewe ni ya kijinga kama Huyo hakimu..
Hapa mtuhumiwa wetu ni " Quran" ,tunataka kuthibitisha "uharari Wa maneno yake"...hatutakiwi kutumia Quran kuthibitisha uhalali Wa Quran....njoo na ushahidi nje ya Quran

Njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Allah alishusha kitabu kwa Mohammed, njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Mohammed aliwahi gawanya mwezi vipande viwili..
 
Thibitisha kwanza huo msingi dhaifu ulio kwenye Logic?
Nimecheka sana.

Ngoja nianzie hapa. Msingi wa logic ni AKILI. Akili ina ukomo kama yalivyo macho yana ukomo katika kuona. Unakubaliana na hili ? Kama unakataa inabidi uonyeshe ukamilifu wa akili kisha nikuulize maswali.
Thibitisha kwanini hio hoja niliyoweka hapo juu sio "circular", maelezo yote uliyotoa hapo juu ndiyo hiki hiki ninachokipinga hapa
Inaonyesha hauko makini katika usomaji wa kile ninachokiandika. Nimekosoa hiyo "Circular argument" kwa kuonyesha haijihusishi na matini yaani kipi kimeandikwa bali ukanushaji wa juu juu na huu ni udhaifu mwingine katika Logic.

Nilikwambia kosoa kilichoandikwa na uonyeshe udhaifu wake. Hili hujalifanya.
1.Nani kasema au kuthibitisha kuwa Quran ni kitabu kisicho na shaka ndani take

Umejibu,ni " Allah" kupitia malaika mpaka kumfikia mtume
Kila mwenye akili timamu na mwenye kutafakari hapingi hili ya kuwa Qur'aan ni kitabu kiwichokuwa na shaka ndani yake.Ndiyo maana hukuti yafuatayo katika Qur'aan.

1. Huku makosa katika Qur'aan
2. Hakuna aliyeweza kuleta mfano hata wa aya moja.

Sasa wewe unatakiwa ukanushe ya kuwa si Allah.
2.Nauliza tena,kisa hiki cha Allah kumtuma malaika wake mpaka kwa mtume umekisoma wapi au kimeandikwa wapi?
Katika Qur'aan na Hadithi za mtume. Swali je yaliyo andikwa ni ya uongo ? Hoja iko hapa.
Utanambia kipo kwenye Quran sura Fulani,bado tu hujaona udhaifu Wa hoja yako kuwa unafanya "self reference"?
Udhaifu wa hoja yangu haupo sababu nilichokiandika ni kweli.

Ngoja nikuulize swali dogo. Ushahidi wa Mtu mmoja unakubalika au haukubaliki ?

Hivi hujaona udhaifu wa Logic mpaka muda huu,kama hujaona utakuwa na matatizo ya AKILI. Kwanini hamjishughulishi na UKWELI ? Yaani kujua hakika ya mambo ?
Huu mfano mfu na haukai hapa,sababu ukiulizia Qur'aan lazima ujue unaongelea nini. Mtume alikuwa anaombwa ushahidi wa kuthibtisha ya kuwa kile anachokisema kinatoka kweli kwa Mola au kinyume chake. Ndiyo Allah akawathitishia hilo kwa kuwapa "challangee". Hii inaonyesha kushindwa kwao ulikuwa ushahidi tosha ya kuwa Qur'aan inatoka kwake na kuna chain.
Hapa mtuhumiwa wetu ni " Quran" ,tunataka kuthibitisha "uharari Wa maneno yake"...hatutakiwi kutumia Quran kuthibitisha uhalali Wa Quran....njoo na ushahidi nje ya Quran
Naendelea kucheka tena na tena. Nilikuuliza ili tujue ukweli hasa kuhusu wewe,tuanze na watu wa nje au tuanze na wewe mwenyewe kisha tuende kwa wengine. Hili swali hujalijibu unaruka ruka.

Lingine si "uharari" sahihi ni "uhalali".

Nani amekwambia ya kuwa nafsi ya kwanza si shahidi kuthibitisha ukweli juu yake ? Huu ujinga unautoa wapi au umeusoma wapi ?
Njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Allah alishusha kitabu kwa Mohammed, njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Mohammed aliwahi gawanya mwezi vipande viwili..
Kutaka ushahidi nje ya Qur'aan huu ni udhaifu katika kujenga hoja na kushindwa kuvunja hoja yangu.

Tukio la kupasuka kwa mwezi mapokezi yake ni mutawatiri (yamesimuliwa na wengi).

Lakini mazingira yake hayakuruhusu kuripotiwa na watu walio kuwa nje,labda walio kuja baadae kupokea mapokeo hayo.

Mwisho kabisa,kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
 
Napoteza mda wangu tu kumbe na kilaza mmoja
 
Hujajibu maswali yangu.

Mpaka unakufa huwezi kuleta usahihi wa logic na kukosoa ninacho kiandika kielimu.
Nimekuomba Mara mbili uthibitishe "credibility" ya Quran nje ya Quran,umeshindwa.

Nimekupa assignment ya kuthibitisha "splitting of the moon" nje ya Quran,umeshindwa

Ni kama na jadili na mtoto mdogo,
Inawezekana hujui hata maana ya "circular reasoning", unaposema MTU mwenye akili timamu hawezi kupinga maneno ya kwenye Quran ndiyo hoja gani hii?

Unajua nini kinafanya mtu awe na akili timamu?

Staff scientist wa NLSI wanakwambia hakuna evidence yoyote ya mwezi kugawanywa na Mohammed kama Quran inavyodai,huyo pia hana akili timamu?

Lete hapa ushahidi wa kitabibu kuwa MTU mwenye akili timamu lazima aamini Quran

Ukishindwa kuleta,usini quote tena
 
Hili sijui unataka nilelete mara ngapi ?

Nachotaka mimi ni wewe ujibu maswali niliyo kuuliza. Ukijbu maswali hayi kazi yangu inakuwa imeisha.

Kingine nacho kushauri ni usome sana,Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa mtu ukweli na hina uwezo huo. Sasa kwa ujinga wako unataka ujue ushahidi wa kupasuka kwa mwezi kwa watu ambao hata kufika mwezini hawakufika.

Sayansi ina vimbwanga vyake,inaonekana ni mshabiki wa haya mambo au ni mgeni katika jambo hili.

Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.
 
"Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa MTU ukweli na haina uwezo huo"
Haya maneno anayasema mtu mmoja,kupitia simu yake(zao LA sayansi) iliyounganishwa na internet (zao la sayansi) na kuhifadhiwa ndani ya server ya jamiiforums(zao la sayansi)...

Ficha ujinga wako,Maswali niliyokuuliza umeshindwa kuyajibu,

Nipe "credibility" ya Quran nje ya Quran,unakwepa hili swali kwanini?

Ukitumia Quran Ku prove credibility ya Quran,

Muhindu atatumia Gita Ku prove credibility ya Hinduism au uwepo wa Mungu Vishnu..

Nipe ushahidi nje ya Quran kuwa mtume Mohammed aligawanya mwezi vipande viwili?
 
Maswali makini sana sema ubaya ni kwamba washa wekewa limit kujibu inakuwa shida zaidi utaletewa hadithi na vitisho
 
Ukafiri na dini ya mizimu ya mababu zenu haina tofauti Sana, kwahiyo ukiwa Kafiri na ukaamua kufata din ya mababu inakua hauna unacho poteza kwakua tayari ulisha potea
 
Kama dini ni kutobadilika badilika katika msingi wake wa ibada, Uislamu na Ukristo si dini.

Kwa sababu, Biblia na Quran zimejaa contradictions.

Unajua hilo?
 
Lakini hyo sayansi mliyoipondea ndo ilidhihirisha ukakasi wa dini pale kulipopigwa marufuku mikusanyiko ya makka!.. au unataka kusema Mungu alishindwa kutetea afya za wanaomuabudu hvyo ibada ikaahirisha mpaka corona iishe!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…