Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Wewe kama sio shabiki wa England, basi ni Portugal au brazil kwa walima miwa na uasherati kama wote. Kwanza kushabikia brazil ni aibu mno, mwanaume mzima unashabikia hilo timu 😁😁😁
Umebadilisha gia angani, Tanzania hamjakatazwa sio tu wazungu Bali hata wahindi mnaweza waita kwenye timu yenu ya michezo
 
We ni mjinga nitatizo la nchi yako kwani umenyimwa kuita wazungu kwenye michezo
Kwani ni lazima hizo nchi nyingine ziwe na waafrika kwenye timu zao? Wewe ni nani hadi uwaamlishe na wasipofanya hivyo uwaite wabaguzi? Bado umeendelea kudhihirisha upuuzi wako. Wanafanya wanavyojisikia ndugu.

Mim nimewalaziisha Waite waafrika wapi ebu nionyeshe sehemu nilivyosema lazima waitwe
Sababu naona kama umechanganyikiwa vile
 
Umebadilisha gia angani, Tanzania hamjakatazwa sio tu wazungu Bali hata wahindi mnaweza waita kwenye timu yenu ya michezo
Hao unaowatuhumu je? Kwani ni lazima wawaite wachezaji wa kiafrika? Acha mentality za kibaguzi dogo.
 
Mim nimewalaziisha Waite waafrika wapi ebu nionyeshe sehemu nilivyosema lazima waitwe
Sababu naona kama umechanganyikiwa vile
Sijachanganyikiwa ndugu. Ni uelewa wako mdogo tu. Nenda kwenye thread uliyoniquote ikasababisha nikujibu nilivyokujibu.
 
Msingi wa hoja yako kuwa hatujakatazwa kuwahusisha wazungu au wahindi ni nini? Au umedandia comments za watu bila kujua mtiririko toka mwanzo sio?
Wapi nimewatuhumu kwa sababu ni kama unanlisha maneno
 
Nitajie nchi ambayo haina ubaguzi? Hata sisi watanzania wenyewe tunabaguana. Naishabikia Argentina na nitaendelea kuishabikia mpaka Messi astaafu soka
 
Yeye ana shangilia timu ipi Africa? Waafrica tumeathiliwa sana na utumwa

Hivi unajua unachokiongea? Yani unashawishi mashabiki waisuse Argentina, hivi una ujasiri upi wa kutushawishi kuitosa timu pendwa kama Argentina, yenye wachezaji bora kuwahi kutokea ulimwenguni Messi and Diego Maradona!!! Are you serious? Rudi utafakari unachoongea
 
Usipende kulazimisha watu kuamini unachokiamini. Man, ishi maisha yako and endelea kuamini unachokiamini don’t ruin other pals happiness.

#messi #Argentina
 
Back
Top Bottom