Umeishi nao,kwani ulikuwa unacheza nao soka? Kwenye soka Wana hujuma saana hao watu hasa wakiwa kwao.Acha uongo na avatar yako hiyo,, unadhani hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
wewe utakuwa muumini wa ile imani ya wavaa makubazi na visuruali vifupi-maake nyie hao waarabu ndio mabwana zenu.Acha uongo na avatar yako hiyo,, unadhani hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
jamaa ni mpuuzi sana huyu...nikikumbuka yule dada wa Uganda nawawaona hawa mashetaniBruh mbona jazba nyingiiii iviii wale wadada wa kaziii ambao wanatolewa hadi figo bila ridhaa yao wanatolewa na ankina naniiii
Wanafika wawiliWaafrica hamana ataefika round 16
Tatizo ukijibiwa unaita waungwana waongo.Arabs wana ubaguzi mnoo kwa Waafrika.Ukiona Mwarabu yupo jirani na weye,ujue kuna kitu anahitaji umfanyie au umfanikishie.Hawa watu usiwatetee.Unamfanikishia jambo lake halafu kesho yake tu ukimkuta anaendesha usafiri wake anajidai yupo bize na simu.Uongo mtupu!Mbona wakati alipokuwa na changamoto alikuona bila mawaa?Una maoni gani kuhusu hili?
Hivyo hivyoo.haina shida. Hata wakitolewa bila kupata goli na point hata Moja kikubwa wameenda Qatar [emoji16] waraabu Fulani wamebakiWaafrica hamana ataefika round 16
Watu weusi hatukuwa wabaguziiiii hata kidogo ilii sisi ni wahanga wa ubaguziiii tukaona isiwe taaabu na sisi ngoja tujibu mapigo sasa imekuwa nongwaaajamaa ni mpuuzi sana huyu...nikikumbuka yule dada wa Uganda nawawaona hawa mashetani
kumbe wewe unaongelea uzoefu watu wa asili ya waarabu hapa bongo.Wa hapa bongo ni wenzetu sisi tunaongelea wa kuleeee ughaibuni.Mbona Msalala,Igunga,Nzega,Shinyanga,Ujiji kuna waarabu ukiwatolea mfano hawa unakosea sana hawa wanaitwa washihiri wana mchanganyiko na weusi.Hivi unajua Morocco haijihesabu iko Africa.Marehemu Ghadhaf ndio kiongozi pekee aliutetea Uafrica.Hata sio kwamba sijaishi nao, mkuu mimi nimesoma na waarabu na wahindi. Yani shule niliyosoma primary mpaka sekondari waarabu na wahindi walikuwa wengi kuliko waafrika. Darasani waafrika tulikuwa sijui 4 au 5 hivi.
Tulikuwa poa tu hakuna kubaguana wala nini maana watoto mara nyingi uwa hawabaguani.
Ukubwani bado baadhi ya hao watu mpaka leo rafiki zangu.
Ila nasema nchi kama Egypt, Morroco sidhani kama wenyewe pia uwa wanajihesabu sana kama part ya Afrika
Unawatetea hao mabwanor zako hujui wanavo tesa na kuwaua waafrika kikatili eti enhe?Hata sio kwamba sijaishi nao, mkuu mimi nimesoma na waarabu na wahindi. Yani shule niliyosoma primary mpaka sekondari waarabu na wahindi walikuwa wengi kuliko waafrika. Darasani waafrika tulikuwa sijui 4 au 5 hivi.
Tulikuwa poa tu hakuna kubaguana wala nini maana watoto mara nyingi uwa hawabaguani.
Ukubwani bado baadhi ya hao watu mpaka leo rafiki zangu.
Ila nasema nchi kama Egypt, Morroco sidhani kama wenyewe pia uwa wanajihesabu sana kama part ya Afrika
Ww nenda youtube angalia hao jamaaa wanavo waua watu weusi wanaopita wanataka kwenda ulaya ndo utajua hao jamaa wanavotuchukia sisi kwa kiwango cha lami ifike mahali tujitambue sio kujikomba na kujipendekeza kwa watu.Pia ukitaka kujua hao ni wabaguzi hali ya juu nenda kaoe huko kwao km utapata mke ww ila wao huku sisi bado tunawapa dada zetu tujikubali kwanza sipendi ubaguzi ila km mtu hakupendi anakubagua wa nn kukomaa nae...Tukana tu, lakini ukweli usemwe japo unauma kwa wasiojitambua.
Huo utumwa unauzungumzia, je! Ulikuwepo na ukashuhudia live matukio hayo?
Mkuu hata mimi mwisho nimehitimisha kuwa hao egypt na morocco sidhani kama wanajihesabu kama ni part ya afrika.kumbe wewe unaongelea uzoefu watu wa asili ya waarabu hapa bongo.Wa hapa bongo ni wenzetu sisi tunaongelea wa kuleeee ughaibuni.Mbona Msalala,Igunga,Nzega,Shinyanga,Ujiji kuna waarabu ukiwatolea mfano hawa unakosea sana hawa wanaitwa washihiri wana mchanganyiko na weusi.Hivi unajua Morocco haijihesabu iko Africa.Marehemu Ghadhaf ndio kiongozi pekee aliutetea Uafrica.
Acha iwe nongwa mkuu tumeteseka sana na ubaguzi na bado tunateseka sana na ubaguzi tatizo hatujioni tumekamilika bila hao wakati sisi tumekamilika kabisa hata bila wao life linasonga.#Tujikubali ..Watu weusi hatukuwa wabaguziiiii hata kidogo ilii sisi ni wahanga wa ubaguziiii tukaona isiwe taaabu na sisi ngoja tujibu mapigo sasa imekuwa nongwaaa
Machifu na si walikua wanaogopa ngozi nyeupe na pia walikua wanufaika wa biashara lakini pia km hao waarabu na wazungu wasinhekuja kufanya biashara hiyo ya utumwa hao machifu wangemuuza nani chanzo ni hao hao tu mkuuHao waarabu walikuja tu from nowhere wakaanza kubeba watu? Machifu ndo waliuza watu wao...kama ambavyo tunaendelea kuuzwa Leo na viongozi wetu Kwa hizi ngozi nyeupe.