Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitumia Dini kutupumbaza... Leo hii nchi za Afrika zimekumbatia Dini kuliko kitu chochote...Bikira Maria aliumbwa na Mungu, akazaa Mungu,huoni ni kituko? Waafrika tukaacha jadi yetu na kuamini mambo yao. Haraka!!!turudi kwenye jadi yetu.Majanga yote tunayopata ni kuwapuuza mababu zetu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hata wandengereko tunae wetu anaitwa nshebwedeWahaya mna mizimu kumbe!!
Vyanzo vikuu vya upotevu wa amani ni dini na siasa, yaani dini ndo ya kwanza kabisa.Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katia Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, mkristo anambagua muislamu na muislamu anambagua mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka kwenye ofisi nyingi na taasisi nyingi, siku hizi ubaguzi wa kikabila unaenda ukipungua, huku ubaguzi wa kidini ukizidi kukuwa.
Je Dini zilianza kuingia Afrika karne zipi;
Dini za Kiislamu na Ukristo zilianza kuingia Afrika muda mrefu uliopita. Ukristo uliingia Afrika kwa mara ya kwanza karne ya 1 BK (Baada ya Kristo) kupitia wamishonari na biashara na Waafrika wa Kaskazini. Ukristo uliendelea kuenea katika maeneo tofauti ya Afrika.
Uislamu ulianza kuingia Afrika katika karne ya 7 BK (Baada ya Kristo) kupitia kazi ya Muhammad na Waislamu wa kwanza. Kupitia biashara na uvumbuzi wa safari za jangwani, Uislamu ulienea kwa kasi katika maeneo mengi ya Afrika, haswa katika Afrika Kaskazini.
Je Kabla ya Dini hizi waafrika tulikuwa tunaabudu nini?
Kabla ya kuingia kwa dini za Kiislamu na Ukristo, tamaduni za Kiafrika zilikuwa na dini na imani za kiasili zilizojumuisha ibada ya miungu ya asili, roho za wafu, na nguvu za asili. Dini za Kiafrika zilitofautiana sana kutoka eneo moja hadi lingine na kati ya jamii tofauti za Kiafrika.
Mara nyingi, dini za Kiafrika zilijumuisha ibada ya miungu au roho za wakubwa wa kale, kama vile mababu au wazee wa kabila. Kwa mfano, jamii nyingi za Kiafrika ziliabudu miungu ya jua, mvua, na ardhi, kwa sababu vitu hivyo vilikuwa muhimu kwa maisha yao ya kila siku.
Dini za Kiafrika pia zilijumuisha ibada ya wazee na mababu waliokufa, kwa kuwa waliona kumbukumbu na heshima kwa wafu kama sehemu muhimu ya utamaduni wao. Imani hizi za kiasili zilikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiafrika na zilisimulia hadithi za uumbaji, maisha, na mazishi.
Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwa dini za nje, Waafrika walikuwa wanaabudu miungu yao ya asili na walikuwa na imani za kiasili zilizohusiana na maisha yao ya kila siku na utamaduni wao, na maombi yalikuwa yanafanya kazi.
MY TAKE: Ukitizama Dini hizi za Ukristo na Uislamu ni dini zilizoletwa tu Afrika. Walikuja na kutuambia Imani zao ni bora kuliko zetu, hivyo tuache Imani zetu tufate Imani zao. Dini hizi mbili zinaimiza katika Kusameheana, kutokuua, kutokudhuru, na zinaamini katika Kupendana. Inasikitisha sana hawa wenye dini zao wamekuja Afrika na kutuhubiria Amani lakini wao hawafuati hiyo Amani wala hayo mafundisho. Mbona wenye dini zao wenyewe Waisraeli na wapalestina wameshindwa kufuata maandiko na wanauana kama kuku, inakuaje mimi muhaya wa Bukoba ambaye hapo mwanzo nilikuwa naabudu mizimu nifuate maandiko hayo ambayo wahusika wenyewe wameshindwa kuyafuta.
Mimi kwa mtazamo wangu naona walitumia dini zao kama chambo hili kutuweka katika ukoloni miaka hiyo maana waarabu ndio walikuwa walanguzi wa watumwa kisha wanaenda kuwauzia wazungu. Hivyo walitumia mafundisho ya dini zao kutufanya kutufumba akili na uwezo ili iwe rahisi kututawala.
Mbona hatuoni ishara yoyote kutoka juu kwa muumba mwenyewe baada ya mapigano hayo, maana tunaambiwa maeneo yale ni matakatifu, hivyo kwa akili tu lazima kungetokea ishara ya kukataza mapigano, ila naona tu Aliakibar ndio nyingi huko Gaza, huku Shalom zikiwa nyingi huko Israel.
Kila mtu akiomba mwenyezi hamsaidie.
Sasa tumeona ni namna gani Dini hizi za kuletwa vile hazifanyi kazi, ni bora kurudi kwenye kuabudu Mizimu yetu ambayo hapo mwanzo tulikuwa tukiiomba, mwandishi mashuhuri wa vitabu Yericko Nyerere aliwahi kugusia hili, kwamba turudi kwenye Imani zetu za hawali, na mimi sasa naona umuhimu wake
rud mwemyewe ukaiabudu iyo mizimu...alafu mizimu ya leo imenambia ni zamu yako leo kukutoa sadaka🤣😅😆😁😄Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Dini ni dini tu.Hivi karibuni kunaibuka nyuzi nyingi watu wanaonesha kuwa na wasi wasi sana na " MUNGU + uhusiano wake na DINI " au " MUNGU pekee "
Lakini I think watu wanakosea katika kuhitimisha mawazo yao and jump into wrong conclusion kama mtoa mada, Dini ni guiding systems bora sana duniani kuliko Serikali. imetokea tu watu wana misuse kwa manufaa yao binafsi
I hate vicomment vyepesi kama hivi.Dini ni dini tu.
Eti mungu hayupo huyo aliyekupasua matako yakatoka mapande mawili ni babako.Hii organized religion kama ukristo na uislamu ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Mwisho wa duniaHizi hoja za kumpinga mungu skuiz zipo nyingi sana humu
Wenye hela ndio wanaongoza kumkataa mungu sie wenye njaa hatuachi kununua mafuta yamwamposa ili tupone njaaNjaa imezidi...
Soma vizuri hapo juu... Mizimu yetu ni za Mababu zetu...Mizimu yenu ni ipi ninyi kama Waafrika?
Kwani unadhani hao Waarabu au Wazungu huu Ukristo na Uislamu ndiyo dini zaobza asili?
Unavyodhani wewe Ukristo na Uislamu ndiyo Mizimu yao?
Tatizo katika kufikiri wengi mnaanzia walipoishia wenzenu jana. Huwa hamjisumbui kujiuliza walau maswali mawili matatu kurudi nyuma, halafu ndiyo mnajiibua kuwa Championa and great thinkers...mnafanya vyema thou
Yesu unayemwabudu WA Israel lakin Palestine wako waniadabisha Israel [emoji23]Rudi mwenyewe, tushaijua kweli ambaye ni Yesu na yeye ametuweka huru..
Kwani Mizimu haikutupa guiding system ya maisha... Maana kabla ya ukristo na Uislamu tulikuwa na serikali za vijiji na serikali za falme na koo... Ukisoma Historia vizuri utaona hata huko nchini Mali kulikuwa na Empire kubwa sana.Hivi karibuni kunaibuka nyuzi nyingi watu wanaonesha kuwa na wasi wasi sana na " MUNGU + uhusiano wake na DINI " au " MUNGU pekee "