Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanatumia mwili kupiga watu wa Mungu lile ni Taifa teule...Yesu unayemwabudu WA Israel lakin Palestine wako waniadabisha Israel [emoji23]
Wewe ulikuwepo kipindi linachaguuliwa au umekariri maandiko....Wao wanatumia mwili kupiga watu wa Mungu lile ni Taifa teule...
Lilishachaguliwa...
Mungu atanisaidia maana yeye hana Roho ngumu kama yako...Wewe ulikuwepo kipindi linachaguuliwa au umekariri maandiko....
Wewe waachei waisraeli tamaduni zao, kama wamechaguliwa ni wao
Wewe angaika na tamaduni zako, na mizimu yako... Ukipigwa bomu leo, Israel haiwezi kuja kukusaidia
Ni kwa vile Mungu huyo Hayupo.Hizi hoja za kumpinga mungu skuiz zipo nyingi sana humu
Bibi wepi tenaKwani wewe kabla ya ukristo kuingia kwenye ukoo wenu... Mlikuwa mnaabudu nini? Acha kupinga Imani za bibi zako kisa mzungu kakuambia chake ni bora
Sio roho ngumu, mimi ni open mindedMungu atanisaidia maana yeye hana Roho ngumu kama yako...
Ndo maana skuizi mnakulana sana kinyume na maumbile nyie msio amini mungu yupo ndo nyie mashoga wengi sana na bado mtakoma nyie mtachomwa na kuliaNi kwa vile Mungu huyo Hayupo.
Angekuwepo ange tu prove wrong kwamba yupo.
Ange jitokeza na kujidhihirisha.
Mbona kipindi tunatumia Mizimu kulikuwa hakuna hizo tabia... Ina maana mizimu nayo ni bora kwa sababu hakukuwepo hayo mambo, na tabia zozote chafu chafu hazikuwepo kipindi tunatumia mizimuNdo maana skuizi mnakulana sana kinyume na maumbile nyie msio amini mungu yupo ndo nyie mashoga wengi sana na bado mtakoma nyie mtachomwa na kulia
Mungu muweza wa vyote na mwenye kujua yote, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na ushoga?Ndo maana skuizi mnakulana sana kinyume na maumbile nyie msio amini mungu yupo ndo nyie mashoga wengi sana na bado mtakoma nyie mtachomwa na kulia
True... Watu mtaani wanaishi kwa timing tu hasa sehemu zenye udini mchanganyiko... Kila mtu anaona mwenzake hafaiZIwe za kweli au la , ila hili la zimetengeneza division ni kweli, na jamii nyingi hasa kwenye mchanganyiko watu wanaishi kwa timing tu na kila mtu anamuona mwenzake kapotokwa
Mimi nimemuuliza tuMungu muweza wa vyote na mwenye kujua yote, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na ushoga?
Kwanza, ume hamisha mada, Mada ina husu Dini wewe unaleta habari za ushoga!!
Wajinga kama ninyi, Hamuwezi kujenga hoja mna ingiza personal attack...
Bila shaka wewe ndio shoga unafukuliwa huo mtaro.
Mada inahusu Dini, una ingiza ushoga..
Damn fool.
Tuachane na uongo/ujinga wa kigeni, tuurudie uongo/ujinga wetu wenyewe?Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katia Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, mkristo anambagua muislamu na muislamu anambagua mkristo...
Kabisa mkuu.Mimi nimemuuliza tu
Mbona hizo tabia za ushoga hazikuwepo enzi tunaabudu mizimu, kwa muktadha huo mizimu ni bora kwa sababu na mizimu yetu yote hatukuwahi kukutana na mambo ya ushoga...
This is factTrue... Watu mtaani wanaishi kwa timing tu hasa sehemu zenye udini mchanganyiko... Kila mtu anaona mwenzake hafai
Kavae pampasi wew sip mzima wa akili subiria kufa ukawe mume wa mtu motoniKabisa mkuu.
Kwanza Dini hizo ndio zina chochea ushoga.
Juzi kati hapo papa wa wakatoliki anasema eti, mashoga wasitengwe ni binadamu kama sisi...