Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka kwenye ofisi nyingi na taasisi nyingi, siku hizi ubaguzi wa kikabila unaenda ukipungua, huku ubaguzi wa kidini ukizidi kukuwa.

Je Dini zilianza kuingia Afrika karne zipi;

Dini za Kiislamu na Ukristo zilianza kuingia Afrika muda mrefu uliopita. Ukristo uliingia Afrika kwa mara ya kwanza karne ya 1 BK (Baada ya Kristo) kupitia wamishonari na biashara na Waafrika wa Kaskazini. Ukristo uliendelea kuenea katika maeneo tofauti ya Afrika.

Uislamu ulianza kuingia Afrika katika karne ya 7 BK (Baada ya Kristo) kupitia kazi ya Muhammad na Waislamu wa kwanza. Kupitia biashara na uvumbuzi wa safari za jangwani, Uislamu ulienea kwa kasi katika maeneo mengi ya Afrika, haswa katika Afrika Kaskazini.

Je Kabla ya Dini hizi waafrika tulikuwa tunaabudu nini?

Kabla ya kuingia kwa dini za Kiislamu na Ukristo, tamaduni za Kiafrika zilikuwa na dini na imani za kiasili zilizojumuisha ibada ya miungu ya asili, roho za wafu, na nguvu za asili. Dini za Kiafrika zilitofautiana sana kutoka eneo moja hadi lingine na kati ya jamii tofauti za Kiafrika.

Mara nyingi, dini za Kiafrika zilijumuisha ibada ya miungu au roho za wakubwa wa kale, kama vile mababu au wazee wa kabila. Kwa mfano, jamii nyingi za Kiafrika ziliabudu miungu ya jua, mvua, na ardhi, kwa sababu vitu hivyo vilikuwa muhimu kwa maisha yao ya kila siku.

Dini za Kiafrika pia zilijumuisha ibada ya wazee na mababu waliokufa, kwa kuwa waliona kumbukumbu na heshima kwa wafu kama sehemu muhimu ya utamaduni wao. Imani hizi za kiasili zilikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiafrika na zilisimulia hadithi za uumbaji, maisha, na mazishi.

Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwa dini za nje, Waafrika walikuwa wanaabudu miungu yao ya asili na walikuwa na imani za kiasili zilizohusiana na maisha yao ya kila siku na utamaduni wao, na maombi yalikuwa yanafanya kazi.

MY TAKE: Ukitizama Dini hizi za Ukristo na Uislamu ni dini zilizoletwa tu Afrika. Walikuja na kutuambia Imani zao ni bora kuliko zetu, hivyo tuache Imani zetu tufate Imani zao. Dini hizi mbili zinaimiza katika Kusameheana, kutokuua, kutokudhuru, na zinaamini katika Kupendana. Inasikitisha sana hawa wenye dini zao wamekuja Afrika na kutuhubiria Amani lakini wao hawafuati hiyo Amani wala hayo mafundisho. Mbona wenye dini zao wenyewe Waisraeli na wapalestina wameshindwa kufuata maandiko na wanauana kama kuku, inakuaje mimi muhaya wa Bukoba ambaye hapo mwanzo nilikuwa naabudu mizimu nifuate maandiko hayo ambayo wahusika wenyewe wameshindwa kuyafuta.

Mimi kwa mtazamo wangu naona walitumia dini zao kama chambo hili kutuweka katika ukoloni miaka hiyo maana waarabu ndio walikuwa walanguzi wa watumwa kisha wanaenda kuwauzia wazungu. Hivyo walitumia mafundisho ya dini zao kutufanya kutufumba akili na uwezo ili iwe rahisi kututawala.

Mbona hatuoni ishara yoyote kutoka juu kwa muumba mwenyewe baada ya mapigano hayo, maana tunaambiwa maeneo yale ni matakatifu, hivyo kwa akili tu lazima kungetokea ishara ya kukataza mapigano, ila naona tu Aliakibar ndio nyingi huko Gaza, huku Shalom zikiwa nyingi huko Israel.
Kila mtu akiomba mwenyezi hamsaidie.

Sasa tumeona ni namna gani Dini hizi za kuletwa vile hazifanyi kazi, ni bora kurudi kwenye kuabudu Mizimu yetu ambayo hapo mwanzo tulikuwa tukiiomba, mwandishi mashuhuri wa vitabu Yericko Nyerere aliwahi kugusia hili, kwamba turudi kwenye Imani zetu za hawali, na mimi sasa naona umuhimu wake
kwan wewe ni nzimu au nsukule?
ili tijue viongosi ya zehebu ya nzimu kwansa..
 
🚮🚮

You are not mentally enough to argue with me.

You Fool, Kama huna hoja Kakojoe ulale.

Sina muda wa kubishana na wajinga.

We endelea na matusi yako ukichoka,kojoa ulale.
Mpumbavu ni alie kuzaa bora angetoa uchafu wako tu ndo maana umezaliwa shoga
 
Labda nikuulize, Mungu huyo ana ruhusuje watu kuzaliwa mashoga?

Punguzo jazba twende taratibu.

Ngoja tutumie maoni yako ya ushoga ulio uingiza tujenge hoja.
Mungu haruhusu usenge usenge ni wa mtu mwenyewe kama wew ulivo hapo na tabia yako ya kumkashifu alie kuumba au ulijizaa mwenyewe au ulitokana na maji ndo ukaja duniani
 
Mungu haruhusu usenge usenge
Kama Mungu haruhusu usenge usenge,

Usenge usenge Uliwezaje kuwepo duniani?
ni wa mtu mwenyewe kama wew ulivo hapo na tabia yako ya kumkashifu alie kuumba au ulijizaa mwenyewe au ulitokana na maji ndo ukaja duniani
Mungu huyo ali umbaje watu wanao weza kumkashifu?

Kwa nini Mungu huyo alishindwa kuumba watu wasio na uwezo wa kumkashifu?

Wakamtii siku zote?
 
Kama Mungu haruhusu usenge usenge,

Usenge usenge Uliwezaje kuwepo duniani?

Mungu huyo ali umbaje watu wanao weza kumkashifu?

Kwa nini Mungu huyo alishindwa kuumba watu wasio na uwezo wa kumkashifu?

Wakamtii siku zote?
Usenge mmeanzisha nyie msio amini kama mungu yupo
 
Mwenzangu wewe abudu tu mizimu yako mie muislamu naipenda dini yangu Quran ndo kitabu changu.

Namuomba الله سبحانه وتعالى na swala zangu za usiku, Dua zangu nikimuomba anipatia hitaji la moyo wangu bila Ibada nikikaa tu namuomba Mwenyeezi Mungu nibariki jambo flani anipa,mfano nimezaa watoto wa kiume wa 3 nikamuomba Mwenyeezi Mungu hii mimba ya 4 ndo ya mwisho nijaalie mtoto mzuri wa kike awe na dimples nywele za singa rangi sio mweupe sio mweusi na shape awe naye aiseee Allah kanijaalia nilicho muomba mpaka Gily Gru anasema mwanae atakuja kuowa 😂 naanzaje kuombw mizimu.
Kuna wengine huyo unaemuomba hatoi majibu........ Dunia kila mtu na formula zake wengine mizimu inajibu
 
Usenge mmeanzisha nyie msio amini kama mungu yupo
Mungu Aliumbaje binadamu kama sisi tusio mwamini?

Je Mungu huyo Hakujua kwamba tutakuja kutomwamini, atuue na kutu angamiza mapema?

Mfano mimi infropreneur, Mungu Hakujua kwamba nitakuja Kuto mwamini aniue tangu ningali tumboni kwa mama yangu?

Sasa Mungu aliruhusuje mimi infropreneur nizaliwe wakati alijua na anajua kabisa Sita mwamini kama yupo?

Sasa Mungu huyo yupo kweli?
 
Ana uwezo na ana nguvu halafu binadamu anampinga.... Yani kama mtu na mjomba wake wanachezeana sharubu tu..... Kitu akiumbe mwenyewe halafu kimshinde
Ndio maajabu hayo.

Yani Mungu, Aliumba viumbe kama sisi wenye uwezo wa kumpinga?

Sasa kweli Mungu huyo si ana ji Contradict mwenyewe 😄😄
 
Mungu Hakujua kwamba
"wapinga Mungu" tutakuja kuwepo atudhibiti mapema tusiwepo?

Maana yeye si ndiye mjuzi wa vyote na Muumbaji wa vyote?

Je Hakujua???
Kaka kwani wew ujiua utazaliwa tanzania kwa nini usinge zaliwa marekani ???
 
Back
Top Bottom