Mwenzangu wewe abudu tu mizimu yako mie muislamu naipenda dini yangu Quran ndo kitabu changu.
Namuomba الله سبحانه وتعالى na swala zangu za usiku, Dua zangu nikimuomba anipatia hitaji la moyo wangu bila Ibada nikikaa tu namuomba Mwenyeezi Mungu nibariki jambo flani anipa,mfano nimezaa watoto wa kiume wa 3 nikamuomba Mwenyeezi Mungu hii mimba ya 4 ndo ya mwisho nijaalie mtoto mzuri wa kike awe na dimples nywele za singa rangi sio mweupe sio mweusi na shape awe naye aiseee Allah kanijaalia nilicho muomba mpaka
Gily Gru anasema mwanae atakuja kuowa 😂 naanzaje kuombw mizimu.