Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Kizazi Kikengeufu hiki kitachomwa Moto. Kwenye kabila letu mnapoomba Mizimu hatuiombi yenyewe kama yenyewe ila huwa Kuna Maneno yanayoconnect kwa Mungu moja kwa moja. Yaani Mizimu ni kama husaidia kufikisha maombi kwa Mungu.

Tulikuwa tunaamini Mizimu ina direct connection na Mungu na kwakuwa Mizimu inatujua, tunajuana ni rahisi kutufikishia maombi yetu kwa Mungu.

Kwa ufupi Mizimu ni wafu waliokufa zamani yaani mababu/mabibi. Kwa imani ya Kanisa Katoliki lenyewe lina watakatifu ambapo waumini huwaomba watakatifu wawaombee kwa Mungu. Ni kama imani ni ileile ila ni new version.

Hoja yangu ni kwamba Kama unaabudu Mizimu abudu ila usiseme Mungu hayupo huo ni ukengeufu.
 
Mkuu wale hawakutuambia dini zao ni bora kuliko Imani za babu zetu bali walitumia Mapanga, majambia na bunduki kutulazimisha kufata mila zao zingatia biashara ya utumwa waliouzwa ni wale waliokataa uislamu na ukristo.
Unaingea kijinga sana. Siyo kisomi au kutaka kuelewaa. Unafikiri unachoelew wewe ndiyo tayari kila kitu unaelewa. Badilika.

Dini au imani ya kale zaidi hapa Afrika ilikuwa inaitwaje?
 
Hamkatazwi kuwa na imani zenu za Mungu.

Ila mnapo anza kusema tusio na imani na Mungu wenu huyo eti tuna matatizo hapo ndio mabishano huanza.
Tatizo lipo wapi iwapo mwenyewe huamini na unajua ni uongo? Kwanini usumbuke mpaka kuanza mabishano?
 
Kabla
Unaingea kijinga sana. Siyo kisomi au kutaka kuelewaa. Unafikiri unachoelew wewe ndiyo tayari kila kitu unaelewa. Badilika.

Dini au imani ya kale zaidi hapa Afrika ilikuwa inaitwaje?
Ni nini maana ya jihadi na crusade?
 
Kwa kuyapitia maandiko yenu ya Biblia na Quran kwa jinsi mlivyo mpa sifa huyo Mungu wenu kwamba ni mwema sana, mwenye huruma na upendo. Kwenye dunia hii iliyo jaa uovu na ukatili wa kila aina Mungu wenu huyo hayupo.

Hayupo.
Ila anakusumbua sana kumtafiti, kumjadili, kumtafuta, kumuona katili, kumbishania? Una hakika hayupo kweli? Au ndo ile ya nafsi i radhi ila ubongo hautaki.
 
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka kwenye ofisi nyingi na taasisi nyingi, siku hizi ubaguzi wa kikabila unaenda ukipungua, huku ubaguzi wa kidini ukizidi kukuwa.

Je Dini zilianza kuingia Afrika karne zipi;

Dini za Kiislamu na Ukristo zilianza kuingia Afrika muda mrefu uliopita. Ukristo uliingia Afrika kwa mara ya kwanza karne ya 1 BK (Baada ya Kristo) kupitia wamishonari na biashara na Waafrika wa Kaskazini. Ukristo uliendelea kuenea katika maeneo tofauti ya Afrika.

Uislamu ulianza kuingia Afrika katika karne ya 7 BK (Baada ya Kristo) kupitia kazi ya Muhammad na Waislamu wa kwanza. Kupitia biashara na uvumbuzi wa safari za jangwani, Uislamu ulienea kwa kasi katika maeneo mengi ya Afrika, haswa katika Afrika Kaskazini.

Je Kabla ya Dini hizi waafrika tulikuwa tunaabudu nini?

Kabla ya kuingia kwa dini za Kiislamu na Ukristo, tamaduni za Kiafrika zilikuwa na dini na imani za kiasili zilizojumuisha ibada ya miungu ya asili, roho za wafu, na nguvu za asili. Dini za Kiafrika zilitofautiana sana kutoka eneo moja hadi lingine na kati ya jamii tofauti za Kiafrika.

Mara nyingi, dini za Kiafrika zilijumuisha ibada ya miungu au roho za wakubwa wa kale, kama vile mababu au wazee wa kabila. Kwa mfano, jamii nyingi za Kiafrika ziliabudu miungu ya jua, mvua, na ardhi, kwa sababu vitu hivyo vilikuwa muhimu kwa maisha yao ya kila siku.

Dini za Kiafrika pia zilijumuisha ibada ya wazee na mababu waliokufa, kwa kuwa waliona kumbukumbu na heshima kwa wafu kama sehemu muhimu ya utamaduni wao. Imani hizi za kiasili zilikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiafrika na zilisimulia hadithi za uumbaji, maisha, na mazishi.

Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwa dini za nje, Waafrika walikuwa wanaabudu miungu yao ya asili na walikuwa na imani za kiasili zilizohusiana na maisha yao ya kila siku na utamaduni wao, na maombi yalikuwa yanafanya kazi.

MY TAKE: Ukitizama Dini hizi za Ukristo na Uislamu ni dini zilizoletwa tu Afrika. Walikuja na kutuambia Imani zao ni bora kuliko zetu, hivyo tuache Imani zetu tufate Imani zao. Dini hizi mbili zinaimiza katika Kusameheana, kutokuua, kutokudhuru, na zinaamini katika Kupendana. Inasikitisha sana hawa wenye dini zao wamekuja Afrika na kutuhubiria Amani lakini wao hawafuati hiyo Amani wala hayo mafundisho. Mbona wenye dini zao wenyewe Waisraeli na wapalestina wameshindwa kufuata maandiko na wanauana kama kuku, inakuaje mimi muhaya wa Bukoba ambaye hapo mwanzo nilikuwa naabudu mizimu nifuate maandiko hayo ambayo wahusika wenyewe wameshindwa kuyafuta.

Mimi kwa mtazamo wangu naona walitumia dini zao kama chambo hili kutuweka katika ukoloni miaka hiyo maana waarabu ndio walikuwa walanguzi wa watumwa kisha wanaenda kuwauzia wazungu. Hivyo walitumia mafundisho ya dini zao kutufanya kutufumba akili na uwezo ili iwe rahisi kututawala.

Mbona hatuoni ishara yoyote kutoka juu kwa muumba mwenyewe baada ya mapigano hayo, maana tunaambiwa maeneo yale ni matakatifu, hivyo kwa akili tu lazima kungetokea ishara ya kukataza mapigano, ila naona tu Aliakibar ndio nyingi huko Gaza, huku Shalom zikiwa nyingi huko Israel.
Kila mtu akiomba mwenyezi hamsaidie.

Sasa tumeona ni namna gani Dini hizi za kuletwa vile hazifanyi kazi, ni bora kurudi kwenye kuabudu Mizimu yetu ambayo hapo mwanzo tulikuwa tukiiomba, mwandishi mashuhuri wa vitabu Yericko Nyerere aliwahi kugusia hili, kwamba turudi kwenye Imani zetu za hawali, na mimi sasa naona umuhimu wake
Sababu za kunifanya nisiabudu Mungu wa wazungu/Waarabu ni hizi÷

1. Hakuna sehemu yoyote katika Bible au koruhan inayomtambua mtu mweusi.

2. Zamani wazee wetu waliomba mvua na zikanyesha lakini viongozi wa hizo dini hata wakikutana wooooote duniani wakaomba mvua hazinyeshi.

3. Wazee wetu waliomba magonjwa ya milipuko yakasambalatika. Corona imeombewa na viongozi woooote wa dini ikawa inaongeza makali ya kuuwa wanafamu

4. Mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi kubwa kwa mataifa yote na hata kwenye vitabu vya dini zote yanakatazwa. Lakini tunamuona papa akitaka kuidhinisha ndoa za watu hao kwa madai kwamba kuwabsgua ni kukiuka haki za binadamu. Tena taifa la Africa likionekana linapinga matendo hayo ya kijinga unanyimwa msaada na hao hao weliyotuletea dini.

5. Waanzilishi wa dini hizo ndiyo wanafanya matendo ya hovyo yanayopingana na dini zao zaidi yetu sisi tuliyoletewa dini hizo

6. Ukiwa ni muumini wa dhehebu fulani automatically unapenda waumini wa dhehebu lako na kuwaona wasiyo waumini wa dhehebu lako ni wadhambi (inaondoa upendo kwa watu wote)
 
Waafrika tunashida Sana,,unaacha kuabudu mizimu ya kwenu Unaenda kuabudu mizimu ya kizungu na kiarabu maana mitume,,manabii,,mara sijui watakatifu wale wote ni wafu,,sasa wanatofauti gani na ndugu zangu waliotangulia mbele za haki ambao kwangu huyo ni mizimu tuu,,kama Yesu,,, Muhammad,,wakina bikira Maria nk!!
 
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka kwenye ofisi nyingi na taasisi nyingi, siku hizi ubaguzi wa kikabila unaenda ukipungua, huku ubaguzi wa kidini ukizidi kukuwa.

Je Dini zilianza kuingia Afrika karne zipi;

Dini za Kiislamu na Ukristo zilianza kuingia Afrika muda mrefu uliopita. Ukristo uliingia Afrika kwa mara ya kwanza karne ya 1 BK (Baada ya Kristo) kupitia wamishonari na biashara na Waafrika wa Kaskazini. Ukristo uliendelea kuenea katika maeneo tofauti ya Afrika.

Uislamu ulianza kuingia Afrika katika karne ya 7 BK (Baada ya Kristo) kupitia kazi ya Muhammad na Waislamu wa kwanza. Kupitia biashara na uvumbuzi wa safari za jangwani, Uislamu ulienea kwa kasi katika maeneo mengi ya Afrika, haswa katika Afrika Kaskazini.

Je Kabla ya Dini hizi waafrika tulikuwa tunaabudu nini?

Kabla ya kuingia kwa dini za Kiislamu na Ukristo, tamaduni za Kiafrika zilikuwa na dini na imani za kiasili zilizojumuisha ibada ya miungu ya asili, roho za wafu, na nguvu za asili. Dini za Kiafrika zilitofautiana sana kutoka eneo moja hadi lingine na kati ya jamii tofauti za Kiafrika.

Mara nyingi, dini za Kiafrika zilijumuisha ibada ya miungu au roho za wakubwa wa kale, kama vile mababu au wazee wa kabila. Kwa mfano, jamii nyingi za Kiafrika ziliabudu miungu ya jua, mvua, na ardhi, kwa sababu vitu hivyo vilikuwa muhimu kwa maisha yao ya kila siku.

Dini za Kiafrika pia zilijumuisha ibada ya wazee na mababu waliokufa, kwa kuwa waliona kumbukumbu na heshima kwa wafu kama sehemu muhimu ya utamaduni wao. Imani hizi za kiasili zilikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiafrika na zilisimulia hadithi za uumbaji, maisha, na mazishi.

Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwa dini za nje, Waafrika walikuwa wanaabudu miungu yao ya asili na walikuwa na imani za kiasili zilizohusiana na maisha yao ya kila siku na utamaduni wao, na maombi yalikuwa yanafanya kazi.

MY TAKE: Ukitizama Dini hizi za Ukristo na Uislamu ni dini zilizoletwa tu Afrika. Walikuja na kutuambia Imani zao ni bora kuliko zetu, hivyo tuache Imani zetu tufate Imani zao. Dini hizi mbili zinaimiza katika Kusameheana, kutokuua, kutokudhuru, na zinaamini katika Kupendana. Inasikitisha sana hawa wenye dini zao wamekuja Afrika na kutuhubiria Amani lakini wao hawafuati hiyo Amani wala hayo mafundisho. Mbona wenye dini zao wenyewe Waisraeli na wapalestina wameshindwa kufuata maandiko na wanauana kama kuku, inakuaje mimi muhaya wa Bukoba ambaye hapo mwanzo nilikuwa naabudu mizimu nifuate maandiko hayo ambayo wahusika wenyewe wameshindwa kuyafuta.

Mimi kwa mtazamo wangu naona walitumia dini zao kama chambo hili kutuweka katika ukoloni miaka hiyo maana waarabu ndio walikuwa walanguzi wa watumwa kisha wanaenda kuwauzia wazungu. Hivyo walitumia mafundisho ya dini zao kutufanya kutufumba akili na uwezo ili iwe rahisi kututawala.

Mbona hatuoni ishara yoyote kutoka juu kwa muumba mwenyewe baada ya mapigano hayo, maana tunaambiwa maeneo yale ni matakatifu, hivyo kwa akili tu lazima kungetokea ishara ya kukataza mapigano, ila naona tu Aliakibar ndio nyingi huko Gaza, huku Shalom zikiwa nyingi huko Israel.
Kila mtu akiomba mwenyezi hamsaidie.

Sasa tumeona ni namna gani Dini hizi za kuletwa vile hazifanyi kazi, ni bora kurudi kwenye kuabudu Mizimu yetu ambayo hapo mwanzo tulikuwa tukiiomba, mwandishi mashuhuri wa vitabu Yericko Nyerere aliwahi kugusia hili, kwamba turudi kwenye Imani zetu za hawali, na mimi sasa naona umuhimu wake
hizi zote ni stori za kipuuzi tu kuanzia ukristo uislamu na hata za mizimu zote ni ujingaa
kfikiria kwa namna hii

unajua ni kwanini ilikua rahisi watu kuacha asili zao na kuwa wakristo?
sababu waliokua wakiabudu walitaka kuona matokeo ya ukwelii lakini haikotokea mfano vita ya kinjekitile watu waliishia kufa kwa sababu ya kuamini uganga

mzungu akaaja na mungu wake ambae akatudanganganya kuwa hauwezi kumuona hadi ufe na hata ukimuomba vipi hakupi unachotaka anakupa unachostahilii
ikawa mtu ukibahatisha jambo kwenye maisha basi credit zote anapewa mungu
hii imefanya sasa watu wanashindwa kupambana wanaakaa wanatumaini kupambaniwa na mungu mwisho wa siku wanaloose

point yangu ni kuwa kila mtu aamue kufanya anachotaka ukiamua kuabudu mizimu au dini ni juu yako ukiamua kutoabudu chochote pia ni juu yako kwa sababu dunia iko random
chochote kinatokea wakati wowote inaweza kuwa ni juhudi zako au ni matokeo ya juhudi za wengine
 
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka kwenye ofisi nyingi na taasisi nyingi, siku hizi ubaguzi wa kikabila unaenda ukipungua, huku ubaguzi wa kidini ukizidi kukuwa.

Je Dini zilianza kuingia Afrika karne zipi;

Dini za Kiislamu na Ukristo zilianza kuingia Afrika muda mrefu uliopita. Ukristo uliingia Afrika kwa mara ya kwanza karne ya 1 BK (Baada ya Kristo) kupitia wamishonari na biashara na Waafrika wa Kaskazini. Ukristo uliendelea kuenea katika maeneo tofauti ya Afrika.

Uislamu ulianza kuingia Afrika katika karne ya 7 BK (Baada ya Kristo) kupitia kazi ya Muhammad na Waislamu wa kwanza. Kupitia biashara na uvumbuzi wa safari za jangwani, Uislamu ulienea kwa kasi katika maeneo mengi ya Afrika, haswa katika Afrika Kaskazini.

Je Kabla ya Dini hizi waafrika tulikuwa tunaabudu nini?

Kabla ya kuingia kwa dini za Kiislamu na Ukristo, tamaduni za Kiafrika zilikuwa na dini na imani za kiasili zilizojumuisha ibada ya miungu ya asili, roho za wafu, na nguvu za asili. Dini za Kiafrika zilitofautiana sana kutoka eneo moja hadi lingine na kati ya jamii tofauti za Kiafrika.

Mara nyingi, dini za Kiafrika zilijumuisha ibada ya miungu au roho za wakubwa wa kale, kama vile mababu au wazee wa kabila. Kwa mfano, jamii nyingi za Kiafrika ziliabudu miungu ya jua, mvua, na ardhi, kwa sababu vitu hivyo vilikuwa muhimu kwa maisha yao ya kila siku.

Dini za Kiafrika pia zilijumuisha ibada ya wazee na mababu waliokufa, kwa kuwa waliona kumbukumbu na heshima kwa wafu kama sehemu muhimu ya utamaduni wao. Imani hizi za kiasili zilikuwa sehemu ya utamaduni wa Kiafrika na zilisimulia hadithi za uumbaji, maisha, na mazishi.

Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwa dini za nje, Waafrika walikuwa wanaabudu miungu yao ya asili na walikuwa na imani za kiasili zilizohusiana na maisha yao ya kila siku na utamaduni wao, na maombi yalikuwa yanafanya kazi.

MY TAKE: Ukitizama Dini hizi za Ukristo na Uislamu ni dini zilizoletwa tu Afrika. Walikuja na kutuambia Imani zao ni bora kuliko zetu, hivyo tuache Imani zetu tufate Imani zao. Dini hizi mbili zinaimiza katika Kusameheana, kutokuua, kutokudhuru, na zinaamini katika Kupendana. Inasikitisha sana hawa wenye dini zao wamekuja Afrika na kutuhubiria Amani lakini wao hawafuati hiyo Amani wala hayo mafundisho. Mbona wenye dini zao wenyewe Waisraeli na wapalestina wameshindwa kufuata maandiko na wanauana kama kuku, inakuaje mimi muhaya wa Bukoba ambaye hapo mwanzo nilikuwa naabudu mizimu nifuate maandiko hayo ambayo wahusika wenyewe wameshindwa kuyafuta.

Mimi kwa mtazamo wangu naona walitumia dini zao kama chambo hili kutuweka katika ukoloni miaka hiyo maana waarabu ndio walikuwa walanguzi wa watumwa kisha wanaenda kuwauzia wazungu. Hivyo walitumia mafundisho ya dini zao kutufanya kutufumba akili na uwezo ili iwe rahisi kututawala.

Mbona hatuoni ishara yoyote kutoka juu kwa muumba mwenyewe baada ya mapigano hayo, maana tunaambiwa maeneo yale ni matakatifu, hivyo kwa akili tu lazima kungetokea ishara ya kukataza mapigano, ila naona tu Aliakibar ndio nyingi huko Gaza, huku Shalom zikiwa nyingi huko Israel.
Kila mtu akiomba mwenyezi hamsaidie.

Sasa tumeona ni namna gani Dini hizi za kuletwa vile hazifanyi kazi, ni bora kurudi kwenye kuabudu Mizimu yetu ambayo hapo mwanzo tulikuwa tukiiomba, mwandishi mashuhuri wa vitabu Yericko Nyerere aliwahi kugusia hili, kwamba turudi kwenye Imani zetu za hawali, na mimi sasa naona umuhimu wake
Bro kitu kimoja nimependa katika maandishi yako ,umegusia kitu muhimu sana nacho ni ubaguzi wa dini
baina ya Waislamu na Wakristo hili ni bomu la saa linaweza kuripuka any time special katika masuala ya ajira Wakristo muna roho mbaya sana katika kuwaajiri waislamu kupata kazi vile vile licha ya waislamu muna ubaguzi wa makabila hata ubaguzi wa madhehebu yenu haya mambo yapo na iko siku yatakuja kuripuka.Mambo ya kuabudi mizimu nu ujahilia wa hali ya juu ni amali za shetani kama wazee wako au babu/bibi wamefanya kwa kutojua.
 
Huwa najiaulizaga mchungaji, Padri au sheikh wanaweza kupiga maombi ya mvua na ikanyesha kama walivyokuwa wanafanya mababu zetu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom