Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Bikira Maria aliumbwa na Mungu, akazaa Mungu,huoni ni kituko? Waafrika tukaacha jadi yetu na kuamini mambo yao. Haraka!!!turudi kwenye jadi yetu.Majanga yote tunayopata ni kuwapuuza mababu zetu.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Walitumia Dini kutupumbaza... Leo hii nchi za Afrika zimekumbatia Dini kuliko kitu chochote...

Wakati wenye Dini zao wakiuana huko Gaza... Sasa si bora turudi kwenye Mizimu yetu.

Mbona huko Japan hawaabudu hizi Dini zetu na wanafanikiwa... Sisi wenye kung'ang'ania hizi Dini tunazidi kuwa maskini tu
 
Vyanzo vikuu vya upotevu wa amani ni dini na siasa, yaani dini ndo ya kwanza kabisa.
 
Hivi karibuni kunaibuka nyuzi nyingi watu wanaonesha kuwa na wasi wasi sana na " MUNGU + uhusiano wake na DINI " au " MUNGU pekee "

Lakini I think watu wanakosea katika kuhitimisha mawazo yao and jump into wrong conclusion kama mtoa mada, Dini ni guiding systems bora sana duniani kuliko Serikali. imetokea tu watu wana misuse kwa manufaa yao binafsi
 
rud mwemyewe ukaiabudu iyo mizimu...alafu mizimu ya leo imenambia ni zamu yako leo kukutoa sadaka🤣😅😆😁😄
 
Dini ni dini tu.
 
Soma vizuri hapo juu... Mizimu yetu ni za Mababu zetu...

Mpaka leo hii wapo wazungu wanaoabudu mizimu.... Niliwahi kukutana na muholanzi nikamuuliza kuhusu mambo ya dini akaniambia Nchini kwao watu wanaofatilia mambo ya dini ni wachache, nikamuuliza kuhusu kwa nini mnaazimisha Christmas, wakaniambia ni utamaduni tu, na sio sherehe kama ya dini, ndio maana utakuta wanaweka father Christmas.

Imani za mizimu zipo mpaka huko kwa waarabu na wazungu... Wapagani pia wapo wengi huko, Tizama YouTube utaona wazungu wanaoabudu mizimu na waarabu
 
Kwani Mizimu haikutupa guiding system ya maisha... Maana kabla ya ukristo na Uislamu tulikuwa na serikali za vijiji na serikali za falme na koo... Ukisoma Historia vizuri utaona hata huko nchini Mali kulikuwa na Empire kubwa sana.

Still Mizimu nayo ilikuwa bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…