Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda.
Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga,
Hapa kwetu siwezi hata kuzungumzia sana, chama kimoja kinatawala tangu uhuru, vishindo vya ajabu kenye chaguzi na nguvu kubwa kutumika kuzuia wanaosogelea mamlaka.
Nchi zetu zina vyanzo kibao vya maji, wananchi wanachangia kodi kuboresha huduma za maji, Nchi za ulaya zinatoa misaada ya matrilioni waafrika tuboreshe huduma za maji lakini hadi leo hii miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru, maji yanakatika wiki hadi mwezi, sehemu nyingi watu bado wanachota maji mtoni, ukihoji tu tayari unakuwa labeled mchochezi usietaka amani, aiseee ! kila mwaka utasikia ahadi, zimetengwa pesa za mradi, kuna maboresho, n.k. lakini kinachoendelea pesa zinapigwa wananchi wanateseka na ukilalamika utawindwa.
Uganda mzee wetu Museveni hataki kungoka tangu miaka ya 80, nchi anataka kumwachia mwanawe, Bobi Wine anakusanya watu wengi sana kwenye kipindi hiki cha kampeni lakini ajiandae kwa surpise ya Museveni kushinda kwa asilimia 90,
Rwanda ya Kagame mzee hataki kujaribiwa kabisa, ukijaribu hata kunong'ona umeshajiingiza kwenye 18 zake
Viongozi wetu