Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Duh, Paulo alikuwa Mwafrika?Mkristo wa kwanza asiyemyahudi alikuwa ni muafrika. Wazungu ukristo wameujua waafrika tumeshaujua kitambo.
Hivyo hata hizi story zako zinetoka kwa wazungu. Na ni historia za kitungwa enzi za ukoloni.
Sì kweli, Biblia ya zamani kabisa ni kweli ni ya Muethiopia, ila sio hii iliyochakachuliwa makanisaniBiblia ni kitabu cha mtu Mweusi kuliko kitabu kingine chochote cha kiimani.
Mtu wa kwanza kuwa mkristo ni yule jamaa muethiopia aliyekutwa anasoma gombo la Isaya. Akabatizwa na shemasi Filipo. Hapo siku nyingi sana kabla paulo hajawa mkristo. Wala hajaenda ulaya kusambaza ukristo.Duh, Paulo alikuwa Mwafrika?
Historically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweus...
Kwa hiyo Simioni Mkerene aliye msaidia Yesu kubeba msalaba yeye akaendelea kuwa mpagani licha ya kumtendea wema mkuu masihi wetu?Mtu wa kwanza kuwa mkristo ni yule jamaa muethiopia aliyekutwa anasoma gombo la Isaya. Akabatizwa na shemasi Filipo. Hapo siku nyingi sana kabla paulo hajawa mkristo. Wala hajaenda ulaya kusambaza ukristo.
Ie Ethiopia is expanding its strength 💪 each and everydayHistorically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.
Mataifa ya sasa ya Ki Africa yanayoiga mifumo ya kizungu kama Kijamaa na Ubepari ndio yamekaa kunyonywa nyonywa tu. Ambayo yanajielewa yenye identity kila siku yanazidi kuendelea
Huyu kijana wa Ghadafi (Mlibya) alipomaliza zoezi lake, hatuna taarifa kama aliendelea na mishe zake au alimpenda Yesu. Ila huyu tajiri wa Ethiopia amewekwa wazi.Kwa hiyo Simioni Mkerene aliye msaidia Yesu kubeba msalaba yeye akaendelea kuwa mpagani licha ya kumtendea wema mkuu masihi wetu?
Nakubaliana nawe mwanangu. Hizi dini koloni na nyemelezi hazitufai hata kidogo. Ni ubaguzi na unyonyaji mtupu na utumwa wa kujitakiaUkristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi...
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia,Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweus...
Hayo uyasemayo umeyatoa kwenye source ipi nasi tukapate maarifa huko hasa hilo la watu weusi kuwa wazawa halisi wa mashariki ya katiKwa ukristo hapo umechemka na wengi wameingizwa chaka bila kujua. Wazungu mungu wao ni jua kwahiyo kwenye ukristo walijiingiza lakini siyo.
Asili ya ukristo ni watu weusi ni kwamba Waisraiel walikuwa weusi, ndiyo maana wazungu wametumia garama kubwa kuangamiza Wamisri wakale na kuwaweka waarabu na Pale kwenye ile nchi leo inatambulika kama Israel wakazi wake wa kale wote waliuawa na wengine kukimbia baada ya majeshi ya Kiroma kuvamia Jerusalem mwaka 70ad yakiongozwa na Titus.
Kwahiyo mji uliharibiwa na walio weza kukimbia walikimbia na wengine kupelekuwa utumwani. Mwaka 1948 likatengenezwa taifa lingine na kuitwa Waisrael na kurudishwa kwenye hiyo nchi. Ukisoma Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume Utaona kunasehemu Mkushi alikuwa akitoka nchi mwake Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem.